Nduu..Wamoshi wanayajua Haya nkumbusheni jaman
Muongo!!Mamaya hizo, tamu sana zikipikwa
Upo sahihi ndg.Sidhan kama ni sahihi kusema matunda....ni viaz vinavyoota ambapo majan yake yanatambaa kwa kujisokota kwenye miti....
Viberee...nakumbuka tulikua tunachemsha twanywa na chai
kwani hajui ama kujifanya kazaliwa sayari nyingine?Haya sio matunda ni viazi