Haya ni mapenzi au usahulifu?

Haya ni mapenzi au usahulifu?

Hapo kwenye nyekundu, nina wasiwasi kama bado unayo, si itakuwa imesha kabisaaaaaaa, kumebaki upara mweupeeee!
Kha nitakuwa sikuogopi tena maana hunaaaaaaaaaa!
Sasa hapo ndipo unapokosea sasa.........!:becky:
 
Mmmh kwa hiyo mkifanyana mkimaliza mnakurupuka tu,mweeh hamuogi wala kupumzika kidogo?ukimaliza kufanyana kwani unavaa tena chupi iyo iyo uliyokuja nayo?mmmmmh mimi hainingii akilini eti nasahau kuvaa chupi y hamsahau kuvaa suruali au sketi?
 
Wanabodi, jambo hili huwatokea baadhi ya watu wakiwa kwenye malavi davi na baada ya kumaliza kuduu...huwa inatokea kwa wanaume wanavaa nguo za ndani za mpenzi wake na kuondoka nayo hata kama ni mchana kweupe, baada ya masaa kadhaa ndipo anapata fahamu kushtuka anakuta ameshaivaa ch..pi ya mauamaua kwa upande wakinadada wengine wakimaliza kuduu mpaka wanasahu kabisa kuvaa chu..pi na wanaondoka, baada ya masaa kupita ndipo atakumbuka na kuhamaki kwamba aliisahau kuivaa..kutokana na matatizo hayo ya kinadada kuondoka na kusahau chupi imemfanya jamaa mmoja yupo dodoma kajikuta mpaka sasa idadi chupi zimekuwa nyingi mpaka begi limejaa chupi za kike, hii inasababishwa na nini?

Mi mgeni! hata sielewi.
 
Back
Top Bottom