Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,011
Wanabodi, jambo hili huwatokea baadhi ya watu wakiwa kwenye malavi davi na baada ya kumaliza kuduu...huwa inatokea kwa wanaume wanavaa nguo za ndani za mpenzi wake na kuondoka nayo hata kama ni mchana kweupe, baada ya masaa kadhaa ndipo anapata fahamu kushtuka anakuta ameshaivaa ch..pi ya mauamaua kwa upande wakinadada wengine wakimaliza kuduu mpaka wanasahu kabisa kuvaa chu..pi na wanaondoka, baada ya masaa kupita ndipo atakumbuka na kuhamaki kwamba aliisahau kuivaa..kutokana na matatizo hayo ya kinadada kuondoka na kusahau chupi imemfanya jamaa mmoja yupo dodoma kajikuta mpaka sasa idadi chupi zimekuwa nyingi mpaka begi limejaa chupi za kike, hii inasababishwa na nini?