Haya ni mambo 8 ambayo huwezi kufundishwa shuleni

Showio

JF-Expert Member
May 16, 2019
255
481
Haya ni mambo 8 ambayo huwezi kufundishwa shuleni:

1. Maisha hayako fair. Yazoee. Unaweza kufanya kazi sana ila ukakosea kidogo tu usifanikiwe lakini mwingine ukaona hafanyi sana ila anafanikiwa. Usinung'unike, hayo ndiyo maisha.
2. Hutakaa upate kazi ya mshahara wa kukutosheleza mara tu baada ya kuhitimu elimu yako. Anza na kilichopo.
3. Kama unadhani walimu au malekchara hawako fair, subiri ukutane na maboss kwenye kazi halafu tafakari upya.
4. Ukikosea wewe usilaumu wengine. Sijui wazazi, sijui ndugu, sijui waalimu. Ni maisha yako. Jisimamie. Pambana.
5. Watu unaokutana nao wanajua vitu ambavyo wewe hujui. Heshimu watu. Jifunze. Kaa na watu uvae viatu. Usijione graduate ukakute mzee wa darasa la nne mlinzi getini ukaanza dharau. Utapotea.
6. Shuleni unaweza kuwa wa mwisho lakini maisha hayaamuliwi hivyo peke yake. Bado una nafasi.
7. Maisha hayajagawanywa kwa mihula (semesters). Jipangie mihula ya maisha mwenyewe, kuwa na sheria na mipango ya maisha yako na itekeleze. Hakuna atakayekupangia wala kukuhimiza kufanikiwa.
8. Unayoyaona kwenye TV ni maigizo, sio maisha halisi. Hata habari wakati mwingine huwa ni za kupikwa, sio uhalisia. Amka! Kwenye maisha ya kawaida watu wanafanya kazi na sio mapenzi muda wote kama tamthilia za Kimexico au Kifilipino
 
Kajamaa ka ONTARIO kalikuja vizuri na vimada vitamu vitamu kama hivi lakini mwisho wa siku watu walilia na kusaga meno

Saivi kameanza kanakamata makolo kule Instagram bahati nzuri kule kuna mambulula kibao
 
Haya ni mambo 8 ambayo huwezi kufundishwa shuleni:

1. Maisha hayako fair. Yazoee. Unaweza kufanya kazi sana ila ukakosea kidogo tu usifanikiwe lakini mwingine ukaona hafanyi sana ila anafanikiwa. Usinung'unike, hayo ndiyo maisha.
2. Hutakaa upate kazi ya mshahara wa kukutosheleza mara tu baada ya kuhitimu elimu yako. Anza na kilichopo.
3. Kama unadhani walimu au malekchara hawako fair, subiri ukutane na maboss kwenye kazi halafu tafakari upya.
4. Ukikosea wewe usilaumu wengine. Sijui wazazi, sijui ndugu, sijui waalimu. Ni maisha yako. Jisimamie. Pambana.
5. Watu unaokutana nao wanajua vitu ambavyo wewe hujui. Heshimu watu. Jifunze. Kaa na watu uvae viatu. Usijione graduate ukakute mzee wa darasa la nne mlinzi getini ukaanza dharau. Utapotea.
6. Shuleni unaweza kuwa wa mwisho lakini maisha hayaamuliwi hivyo peke yake. Bado una nafasi.
7. Maisha hayajagawanywa kwa mihula (semesters). Jipangie mihula ya maisha mwenyewe, kuwa na sheria na mipango ya maisha yako na itekeleze. Hakuna atakayekupangia wala kukuhimiza kufanikiwa.
8. Unayoyaona kwenye TV ni maigizo, sio maisha halisi. Hata habari wakati mwingine huwa ni za kupikwa, sio uhalisia. Amka! Kwenye maisha ya kawaida watu wanafanya kazi na sio mapenzi muda wote kama tamthilia za Kimexico au Kifilipino
Iko deep sana.. Me nimekupata vizuri
 
Kabisa yaani aya mambo ya kudharau watu sio poa tuache
 
Yupo sahihi na kati ya ugonjwa mpya mkubwa unaowakumba graduates kwa sasa ni huu unaitwa "motivation speakers"
motivation speaker wanaongea ukweli 100%, shida hawana uhalisia.

kuna siku MO,alikua anongea mkasi tv,akasema kijana usife moyo,yeye aliishawahi kucheza mpira peku.,shida ni wewe sasa kujiuliza alicheza peku kwa sababu gani?

mwingine aseme,kuku 100 watataga mayai 5@.utauza tray 20 kila baada ya siku 3.kwa mwezi ni tray 200,utajiingizia 700k kila mwezi.kosa lako ni kufikiri hawa kuku hawali wala hawaugui.
 
Shuleni tunaenda kufanya nini unajua?? Nisiandike sana naomba chukua muda wako msikilize dadiiiiiiiii

Shule tunatakiwa twende tukatoe ujinga nakujifunza mambo mapya! Lakini kwa sasa elimu yetu imepitwa nawakati haiendani na uhalisia wa maisha ya dunia yanavyokwenda imebaki kukariri tu ili mtu ujibu mitihani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom