Haya ni " Majembe" ya Chama

Haya ni " Majembe" ya Chama

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
2333.jpg
Angalia kwa Makini anachofanya Mh Huyu na utoe tafsiri yako
 
Huyu kinana natamani nimweke kwenye kumi na nane yangu tu.

Na ningejua cha kumfanya hakiamama.

Janga la Nchi huyu.
 
Tukisema ccm wamerogwa mnatulaumu. mwanzoni walimuweka mgeni asye mtz kuwa mweka hazina wa chama Rosetamu la aziz. Serious. Leo hii mnamuona msomali ana cheo kikubwa tu. What is wrong with you. don't you have confidence in yourselves?
 
Uzuri wa ccm ni kuwa pamoja na wapiga kura wake hili ni jambo jema siyo kama chama cha kilaghai chadema .
 
Tukisema ccm wamerogwa mnatulaumu. mwanzoni walimuweka mgeni asye mtz kuwa mweka hazina wa chama Rosetamu la aziz. Serious. Leo hii mnamuona msomali ana cheo kikubwa tu. What is wrong with you. don't you have confidence in yourselves?
WEWE UNATEGEMEA NN KATIKA CHAMA, 85% UNEMPLOYED,90% gulliberers, 2%university graduates? Arafat angekuwa hai, angeukwaa ukatibu naye!!!!!!!!!!!!!!
 
Kinana anasubiri kunyongwa 2015 CHADEMA tukichukua nchi. Ni jangili hatari sana linalolindwa na CCM.
 
Wanafufua viwanja au viwanda! Kama mambo yako vile baaaasi Tz tumewehushwa. Hivi ndo viwanda? Neno la mtu mzima ni dawa ya moyo uliovunjika jamani. Nilitaka aende hata kwake Arusha nako akavifufue lakini sasa baasi aendelee na hao wasioweza kumwuliza korosho zitabambuliwaje kwa kiwanda hicho kipya
 
WEWE UNATEGEMEA NN KATIKA CHAMA, 85% UNEMPLOYED,90% gulliberers, 2%university graduates? Arafat angekuwa hai, angeukwaa ukatibu naye!!!!!!!!!!!!!!

85% + 90% + 2% : 177% dah.. division V bana.
 
Back
Top Bottom