Haya ni madhara ya unga

Unga wa ngano au wa sembe?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Umakufanya unazeeka kabla siku zako
 
Huyo dada wa 2000/2004 amepelekea siku hii kwangu ianze vibaya
 
Wauza unga na wazione hizi picha, kisha wajitathmini kama huko makanisani na misikitini sala zao zitawaokoa, hakika mungu atawapa adhabu stahiki
 
Wauza unga na wazione hizi picha, kisha wajitathmini kama huko makanisani na misikitini sala zao zitawaokoa, hakika mungu atawapa adhabu stahiki

Dhambi zote sawa, maadamu umekatazwa kutenda matendo mabaya,acha,usichague wala kuweka madaraja ya dhambi/uovu.
 
Omg mtu unakuwa mzee faster
 
Dhambi zote sawa, maadamu umekatazwa kutenda matendo mabaya,acha,usichague wala kuweka madaraja ya dhambi/uovu.
Mkuu hakuna dhambi kubwa na ndogo, nadhani umekurupuka ku comment, soma vizuri nilichoandika
 
Mkuu hakuna dhambi kubwa na ndogo, nadhani umekurupuka ku comment, soma vizuri nilichoandika

Sorry,
Lengo lilikuwa ni kukumbushana kuwa ktk nyumba za ibada wanaingia wengi sio waleta unga pekee, wapo wala Rushwa, wanaosaini mikataba mibovu kwa makusudi,wanaojenga barabara chini ya kiwango,wanaoiba mafuta ya transformer nk nk nk, matokeo ya uovu wao saa nyingine kwa jamii ni mabaya zaidi kuliko hata hao wa unga. Kwa hiyo tukemee uovu wo wote ndani ya jamii yetu bila kuoneana haya.

Nisamehe bure kama nimekukwaza mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…