Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,453
- Thread starter
- #41
Ninachojua kwamba ni real ni kwamba kama mwanamke akichukua damu ya hedhi akaifunga kwenye jani la mpapai wa kiume halafu akalianika mpaka likauke na ile damu. siku akisaga hilo jani na kulimwaga mlangoni kwake. mumewe akipita hapo mlangoni hawezi kutoka nje ya ndoa maishani tena kwani hata kama atakwenda nje haitasimama kamwe
duuh mbona una nichanganya sasa...hii pia yaweza kuwa ni super limbwata.