Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,292
Hakuna kitu kama hicho ni hadithi tu za enzi hata wahindi wanaamini nafikiri zimetoka kwao pia wazungu walikuwa wanaamini hivyo lakini hamna ukweli ndani yake,
Ninachojua kwamba ni real ni kwamba kama mwanamke akichukua damu ya hedhi akaifunga kwenye jani la mpapai wa kiume halafu akalianika mpaka likauke na ile damu. siku akisaga hilo jani na kulimwaga mlangoni kwake. mumewe akipita hapo mlangoni hawezi kutoka nje ya ndoa maishani tena kwani hata kama atakwenda nje haitasimama kamwe
Wewe kama mimi, sasa hivi nimemtafuta mama Mwanahela naona #yake ya Airtel haipatikani!Nikirudi nyumbani nitmuuliza wife kwasasa simu yake haipatikani.
Ninachojua kwamba ni real ni kwamba kama mwanamke akichukua damu ya hedhi akaifunga kwenye jani la mpapai wa kiume halafu akalianika mpaka likauke na ile damu. siku akisaga hilo jani na kulimwaga mlangoni kwake. mumewe akipita hapo mlangoni hawezi kutoka nje ya ndoa maishani tena kwani hata kama atakwenda nje haitasimama kamwe
Ninachojua kwamba ni real ni kwamba kama mwanamke akichukua damu ya hedhi akaifunga kwenye jani la mpapai wa kiume halafu akalianika mpaka likauke na ile damu. siku akisaga hilo jani na kulimwaga mlangoni kwake. mumewe akipita hapo mlangoni hawezi kutoka nje ya ndoa maishani tena kwani hata kama atakwenda nje haitasimama kamwe
Duuuh!Hii nimeipendajeee!Cjui nimfanyie babe sheghele???
daaa afadhari wife hapitipiti huku...Ninachojua kwamba ni real ni kwamba kama mwanamke akichukua damu ya hedhi akaifunga kwenye jani la mpapai wa kiume halafu akalianika mpaka likauke na ile damu. siku akisaga hilo jani na kulimwaga mlangoni kwake. mumewe akipita hapo mlangoni hawezi kutoka nje ya ndoa maishani tena kwani hata kama atakwenda nje haitasimama kamwe
daaa afadhari wife hapitipiti huku...
Kuna mtu hapa JF aliwahi zungumzia uhusiano wa mtoto mdogo na nyoka kotokana na tafiti zilizofanywa na wanasayansi, nadhani huyu angeweza kutupatia jawabu la hii kitu, may be mwanamke akiwa katika hali hiyo kuna glands zinazotoa aina fulani ya signal or something of the like ambazo huathiri mimea iliyotajwa, nilipata kuona mmea fulani ukiugusa na kijiti au jiwe unabaki kama ulivyo, lakini ukiugusa na kidole au sehemu yoyote ya mwili, majani yake yanajifunga, anyway it is something to be studied scientifally
je Kama umenasa itakuwaje?sjui,sjawah fanya hvo.ngoja nkiingia ya mwez wa 3 ntafanya experiment.ntakupa jbu
Na pia mwanamke akiwa kwenye hedhi anapoteza damu
je ni kweli once mixed with foods can became slowly killing poison???
huo mmea unaitwa memosa huku kwetu upo. nilisoma habari zake nilipokuwa A-leval. ni mmea wa ajabu kwani unakula wadudu! mdudu akitua kwenye huo mmea hujifunga kisha kuna kemikali fulani humyeyusha huyo mdudu!