Haya ni maajabu kweli kweli....

Haya ni maajabu kweli kweli....

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,453
Hivi Unajua kua mwanamke akiwa katika siku
zake(hedhi) akishika mmea wa
maboga,mchicha,na hata mmea wa nyanya basi
baada ya 24hrs mmea huo unakauka na kufa
kabisa?....mara baada ya kupata hii taarifa
nikawauliza wadada wapatao sita wote
wamesema ni kweli lakini wameshindwa kutoa
sababu ni kwa nini huwa hivyo?

Wadada wa jf na nyie toeni ushuhuda wenu....
Wataalam wa sayansi ya kizungu na ya kiswahili
tupeni utaalam wenu ni nini hasa sababu ya
hii kitu.......?

Kama hii kitu inaukweli basi ni Maajabu ya
Kumi y dunia...
 
maneno mengi ya nini wakati 'sample' zote tunazo? siku tufanye experiment, aje msichana aliye kwenye siku zake na uletwe mchicha.. ashike huo mmea na tuone nini kitatokea
 
sjui,sjawah fanya hvo.ngoja nkiingia ya mwez wa 3 ntafanya experiment.ntakupa jbu
 
Ignorance is bless ila kwa situation hii its a curse
 
Mi nachojua ukiwa kwenye Hedhi ukabeba mtoto mchanga anatoka upele mwili mzima nina uhakika na kitu hiki.
 
Hivi Unajua kua mwanamke akiwa katika siku
zake(hedhi) akishika mmea wa
maboga,mchicha,na hata mmea wa nyanya basi
baada ya 24hrs mmea huo unakauka na kufa
kabisa?....mara baada ya kupata hii taarifa
nikawauliza wadada wapatao sita wote
wamesema ni kweli lakini wameshindwa kutoa
sababu ni kwa nini huwa hivyo?

Wadada wa jf na nyie toeni ushuhuda wenu....
Wataalam wa sayansi ya kizungu na ya kiswahili
tupeni utaalam wenu ni nini hasa sababu ya
hii kitu.......?

Kama hii kitu inaukweli basi ni Maajabu ya
Kumi y dunia...
kuna maajabu mengi sana ila hatuna watafiti wanaotaka kufanya juu ya uhusiano wa hedhi na mazingira tunayoishi,ila nilichoambiwa kwamba mwanamke akiwa k
tk hali hiyo alikuwa haruhusiwi kwenda kisimani,kupika chakula,kumruka au kukuruka miguu(ukiwa mwanaume)na kulala nae kitanda kimoja.
 
sio kweli, nina dada yangu anafanya biashara ya mboga za majani mwaka wa nne sasa, kila siku anaena kuhudumia na haijawahi kukauka.
 
sio kweli, nina dada yangu anafanya biashara ya mboga za majani mwaka wa nne sasa, kila siku anaena kuhudumia na haijawahi kukauka.

Inasemekana akishika huo mti wa mchicha au m'boga ndio unakauka na sio mboga ambayo tayari imesha chumwa.
 
kuna maajabu mengi sana ila hatuna watafiti wanaotaka kufanya juu ya uhusiano wa hedhi na mazingira tunayoishi,ila nilichoambiwa kwamba mwanamke akiwa k
tk hali hiyo alikuwa haruhusiwi kwenda kisimani,kupika chakula,kumruka au kukuruka miguu(ukiwa mwanaume)na kulala nae kitanda kimoja.

Kuna uwezekano mkubwa wa kua damu ya hedhi ni hatari ndio mana hata waislam mwanamke akiwa blidi haruhusiwi kwenda msikitini wala kufunga.
 
Hizo ni imani tu, ila kwa mtu ambae ni mbaya na akiwa na nia mbaya na icho kutu lazima akichuma cho chote itakuwa ivo
 
kuna maajabu mengi sana ila hatuna watafiti wanaotaka kufanya juu ya uhusiano wa hedhi na mazingira tunayoishi,ila nilichoambiwa kwamba mwanamke akiwa k
tk hali hiyo alikuwa haruhusiwi kwenda kisimani,kupika chakula,kumruka au kukuruka miguu(ukiwa mwanaume)na kulala nae kitanda kimoja.

Kuna mtu hapa JF aliwahi zungumzia uhusiano wa mtoto mdogo na nyoka kotokana na tafiti zilizofanywa na wanasayansi, nadhani huyu angeweza kutupatia jawabu la hii kitu, may be mwanamke akiwa katika hali hiyo kuna glands zinazotoa aina fulani ya signal or something of the like ambazo huathiri mimea iliyotajwa, nilipata kuona mmea fulani ukiugusa na kijiti au jiwe unabaki kama ulivyo, lakini ukiugusa na kidole au sehemu yoyote ya mwili, majani yake yanajifunga, anyway it is something to be studied scientifally
 
Back
Top Bottom