haya ni kweli mbele ya rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

haya ni kweli mbele ya rais

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nzom, Jan 18, 2011.

 1. n

  nzom Senior Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  katika hali isiyo ya kawaida mh mkubwa kutembelea marekani na katika pita pita akaona ghorofa moja halina umeme mala akasema na huku kwenu kuna mgao akajibiwa kua ni ofisi za ubalozi wa tanzania ndo hakuna umeme
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280

  kalale tu ndugu yangu.

  maana sasa unaanza kuweka thread mahala si pake,
   
 3. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Ungemshauri basi aiweke wapi.
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280

  apeleke kwenye jukwaa la masihara
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Kwenye utani aka jokes
   
 6. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Si mahali pake hapa, peleka forum ya jokes.
   
Loading...