Haya ndo maneno ya Magufuli

Haya ndo maneno ya Magufuli

Weka na ya Kikwete.... "nimewatoa mbali mpaka kuwafikisha hapa tulipo"
 
aturudishie nyumba zetu alizoiba.

Nyumba 8200 maeneo ya uzunguni na mkini kati kati kwa kiwanja na nyumba visivyopungua square meter 700 ni kiasi gani?! Eti sio fisadi!! Mhujumu mchumi mkubwa huyu!!!
 
HAYA NDO MANENO YA MAGUFULI:
"Nasema haya kutoka moyoni,nasema haya kwa dhati kabisa,nawahakikishia nitakuwa nanyi,nitakuwa nanyi mtumishi kweli kweli"

Hakika rais tumepata
anachokisema ndio anachokimaanisha

Viva JPM
 
Kwahio hata Kigamboni atavuka kwa kupiga mbizi? Hebu aache bangi zake
 
We mwenye elimu imekusaidia nini kushabikia waliokanyaga katiba ya wananchi ???!

Wananchi gan unasemea?

Kazi ya Tume n kukusanya maoni
Na maoni ya tume sio final and conclusive
Bt n recommendations tu

Na ndio maana baada ya kukusanya mawazo yanaletwa tena kwenye bunge maalum la katiba
na kwakuwa tunatumia mfumo wa representative
Maon ya wengi husikilizwa
Kwasabab maoni ya wawakilishi ndio maon ya Wananchi wote

Acha kuchelewa
twende na mzalendo magufuli

Sasa
 
Kama uko Upinzani...ukimsikiliza Magufuli kwakweli unampa kura yako.... ushauri wangu kwa wanaukawa msikae na kumsikiliza Magufuli ili mmlinganishe na Lowasa.....hakika nawambieni mtajikuta mnachagua Mabadiliko chini ya Magufuli....Mimi nimeacha kwasababu kila nikimsikiliza naona nasahau kuwa yuko CCM ambayo siitaki.
 
HAYA NDO MANENO YA MAGUFULI:
"Nasema haya kutoka moyoni,nasema haya kwa dhati kabisa,nawahakikishia nitakuwa nanyi,nitakuwa nanyi mtumishi kweli kweli"
HATA KIKWETE ALIYASEMA KUTOKA MOYONI KWA dhatikabisa maisha bora kwa kila mtanzania
 
Magufuli wewe unasifa ya kila aina, mabadiliko ya kweli yataletwa na wewe.
 
Wananchi gan unasemea?

Kazi ya Tume n kukusanya maoni
Na maoni ya tume sio final and conclusive
Bt n recommendations tu

Na ndio maana baada ya kukusanya mawazo yanaletwa tena kwenye bunge maalum la katiba
na kwakuwa tunatumia mfumo wa representative
Maon ya wengi husikilizwa
Kwasabab maoni ya wawakilishi ndio maon ya Wananchi wote

Acha kuchelewa
twende na mzalendo magufuli

Sasa

Mnalalamikia swala la UFISADI, maoni ya tume ya Warioba yaliweka namna ya kupambana na kadhia hiyo. Sitta na Chenge wameing'oa meno katiba na haitaweza tena kupambana na Ufisadi.

Halafu msomi kama wewe unaeshabikia MAGAMBA yaliotufikisha hapo?!. Magufuli hawezi kurekebisha CCM, kwani timu nzima ya CCM ina faidika na mfumo huo.
 
Back
Top Bottom