Haya ndo Mahindi ya Dar!

BigBaba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,908
Reaction score
9,041
Mahindi ya Dar!
Ndungu zangu wa mikoani ndo haya ndugu zetu wanajua kuunga unnga kwa kila kitu kuanzia maisha mpaka chakula
 
Sasa unafikiri chips yai asili yake itakuwa koromije?

Hayo mambo ni dar ndo maana nasikia hawana nguvu
Hayo maneno ya kuwa hawana nguvu yapuuze kabisa, yanaenezwa na wa mikoani kwa wivu wao dhidi ya wa dar.
Usiombe kukutwa na nguvu za wala chips wa dar, hutakaa urudi tena mikoani!
 
Hayo maneno ya kuwa hawana nguvu yapuuze kabisa, yanaenezwa na wa mikoani kwa wivu wao dhidi ya wa dar.
Usiombe kukutwa na nguvu za wala chips wa dar, hutakaa urudi tena mikoani!
naona unawatetea wanaume wa dar,wazee wa kuunga mahindi choma kwa ndimu na pilipili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…