Haya ndo anayoyapenda Rais Wenu

Sioni ajabu kwa hilo. Kiongozi wetu mpendwa alichaguliwa kwa kuwa ni mtu wa watu, anajichanganya na wananchi, handsome n.k. Na kwa mtazamo wangu mpaka sasa ametia fora kiutendaji kwenye vigezo vya msingi vilivyofanya asilimia 80 ya wapiga kura wa Tanzania wakamchagua. Tatizo ni pale mnapotaka kumpima utendaji wake kwa kutumia vigezo ambavyo hamkuvitumia wakati wa kumchagua.
 
Nini cha ajabu au umeingiwa na Wivu, SUBIRI DR SLAA aingie ukione cha moto, hivi unajua atimbwili la Makao Makuu Chadema linaloendelea akilazimisha kumtafutia Mke wake nafasi ya Lazima katika Uongozi. Unajua maana ya Moshi? Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo, ukiona mtu kaukimbia msikiti au kanisa basi ujue ni kimeo, sema hujui tu. Ina maana Benson Kigaila na wewe Zitto Kabwe mmeshindwa kabisa kuwang'oa Mbowe na Slaa ili chama kiongozwe na mawazo mbadala? Unaona wanazidi kuongezeka tu, kimeingia kimeo kingine Nasari na walivyo na mbinu kali wamechukua jembe letu Mdee kwa mbinu ya mapenzi na matokeo yake amewakimbia kifikra, sera ya ajimbo Zitto utaumia Kigoma, Singo usilale utaumia Dodoma, Shibuda Maswa wanakujua wewe hawamjui Slaa wala Mbowe, TUKULIWA KUNUMA GETE BAGESI BATANDULAGE

Kwa mantiki hyo na kwa mawazo zako ni kwamba Dr Slaa ni wa moshi,embu msipende kupotosha umma kwa mambo yasiyokuwa na tija kwa taifa.Hivi watz tumelogwa na nani?kwanini tusiwe wazalendo kwa nchi yetu?tuweni na mawazo endelevu na tusiwe na mgwanyiko na fikra zizokuwa na tija kwa nchi na wananchi wetu!tuwe na mtazamo wa mbali na fikra pevu kwa kizazi cha baadaye.nukta
 
Mifano uliyoitoa kumtetea bwana mkubwa ni sawa kulinganisha usiku wa giza nene na mchana wa jua la kiangazi,
au kifo na usingizi.Bwana utuhurumie sisi waja wako.
 
Kutoka Moshi ni Tusi? Mbona unajitetea kwa nguvu nyingi hivi Mhe. Slaa. Jina hilo ni la wapi wewe? Mimi naitwa Madaraka Mhavile lakini nimekulia Tanga unadhani ni Msambaa? Akitajwa Jk unasikia raha kweli huko nyuma ila akitajwa Slaa nimekunya
 
Uliyecoment hapo juu nathubutu kukwambia kuwa una chuki na kiongozi huyu. Huwezi kuishi kwa amani na uhuru wa kutoa mawazo yasiyo na staa namna hii afu ukamwita kiraza rais wako namna hii. Hata babako unamfanyia hv. Tumia vizuri uhuru wa watu kusoma mawazo yako. SO babako akisalimiana na jirani zenu unamita kiraza. Acha chuki za kupandikizwa. Rais akiwA DIKITATOR mnapiga yowe subiri sasa.
 
hivi ni vijiba vya roho, m.kwere kuwa rais imewauma sana..mjadilini kwa hoja sio vioja.
 
Huyu Mr Dhaifu ana matatizo sana,sijui kwanani watanzania walidanganyika kukubali kurazao zichakachuliwe na huyu kilema wa ubongo.Ngono tu ndio anayujua iala si shida za wananchi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Kama anavyoijua ngono padre slaa mpaka kumtumikia mungu kukamshinda
 
Inawauma eeh! Chezea kikwete wewe! Padri slaa alipo ujua utamu na kanisa kalikimbia tumpe urais mtu ana kimada? watanzania wa ajabu sana mtu hawez kuongoza hata mke atuongoze watu million 40 haiwezekan kwanza aoe hatuwez kuongozwa na mpiga punyeto..
 
Ni fedheha sana watanzania kuongozwa na kirusi JKilaza.
tuwe na heshima kwa wakubwa zetu,huyu ni Mh Rais si vyema kutumia maneno yakuudhi ktk kueleza jambo hata kama hukubariani nae ni sawa na mzazi wako

tutofautiane kwa hoja lakini si kutukanana

heshima mbele jamani
 
Ni fedheha sana watanzania kuongozwa na kirusi JKilaza.

AKUTUKANAE HAKUCHAUGULII TUSI: Ndugu zangu wan Jamii mbona tunakua na siasa mbovu, Ya kumbebesha matusi Rais bila sababu. Toka Alipo Ingia katika Uwanja wa Maonyesho Hadi anakutana na Hao Kina Dada wakigeni, alisha amkiana na mamia ya Watanzania. Na pia alikuwa na Mke wake. Jee nani kamuona akiwatongoza hao kina Dada, akifanya kitendo chochote cha kuliharibia sifa Taifa letu.

Tuaache hizi tabia mbaya sio na msingi bali Fitina.
 
Kuna wengine tulishaamua kuwa Rais wetu ni WAKE zetu nyumbani. Kwa hiyo atakayofanya huyu Mh. Halitanishangaza tena chini ya jua hili.
 
Hivi huyu jamaa ujana wake alikuaje.

Alikuwa akinunuliwa viatu anajipitisha kila nyumba ili wamuone, alafu anajisemesha: yaani hivi viatu sivipendi, nimekaanavyo kwenye sanduku mwaka sasa, leo nimeamua niwe navishindia tu! Lol
 
tuwe na heshima kwa wakubwa zetu,huyu ni Mh Rais si vyema kutumia maneno yakuudhi ktk kueleza jambo hata kama hukubariani nae ni sawa na mzazi wako

tutofautiane kwa hoja lakini si kutukanana

heshima mbele jamani

Mfano mimi nimuone baba yangu mzazi anajichekesha mbele ya vibinti huku akiviangalia makalio wakati huo nyumbani hakuna chakula na mdogo wangu anaumwa hakuna hela ya matibabu. Nikimtole matusi nitakuwa nakosea?
 
Ungekua ww ungefanyaje na kuna mtoto kama huyo ana smile mbele yako....acha vivu
 
Back
Top Bottom