Haya ndiyo yaliyojiri leo huku La Paz nchini Bolivia

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,267
2,519
Viongozi Wakuu wa timu ya Mchwa Fc ambayo ni bingwa mtetezi katika ligi ya nchi hii ya Bolivia wamekutana kujadili ajenda mbalimbali katika ofisi ndogo za timu hiyo chini ya Mwenyekiti wa timu hiyo ndugu Jimenez Pablo Martinez.

Ajenda mojawapo ilikuwa ni kupendekeza usajili wa wachezaji wapya ambao wataenda kuipeperusha bendera ya timu yao katika ile ligi maarufu ya upande mmoja.

Pia mtoa taarifa wangu, amenidokeza ajenda ya siri kuhusu ambayo wana Bolivia wengi hawaijui kama imejadiliwa.

Ajenda yenyewe ni kuhusu kocha wa zamani wa timu hiyo ambaye anaitaka kwa udi na uvumba nafasi ya Mwenyekiti wa sasa timu hiyo.

Kocha huyo ambaye anatokea kusini mwa Bolivia na ambaye kwa wiki kadhaa amekuwa akitajwa sana na wapenzi na mashabiki wa timu hiyo mtandaoni kuwa ni chaguo lao sahihi.

Kocha huyo wa zamani ambaye anajulikana sana kwenye michuano ya kimataifa, anamnyima usingizi ndugu Jimenez Pablo Martinez. Hivyo
Mwenyekiti wa timu kwa niaba ya bodi ya Wakurugenzi, ametoa karipio kali kwa wale wote waliopo kwenye timu na wanaonekana wanataka kumuunga mkono Kocha huyo wa zamani.
Miongoni mwa waliopokea karipio la Mwenyekiti ni pamoja na Kepteni wa sasa wa timu hiyo ambaye pia ni mwenyeji wa hukohuko, Kepteni wa sasa wa timu hiyo amepewa onyo na kuambiwa asipoangalia atavuliwa unahodha kama Pogba alivyofanywa na Mourinho kule barani Uropa.

Kwa hiyo ushindani ndani ya timu hautakiwi, Mwenyekiti anataka aendelee kuongoza yeye kwani chini yake timu imeendelea kupata mafanikio ya mataji mbalimbali bila kusahau wimbi kubwa la mashabiki wapya kutoka timu nyingine hasa zile zinazokaribia kushuka daraja.

Ndio maana mambo ya mipira mimi huwa sipendi kufuatilia, yaani kuna figisu nyingi sana, heri hata ya siasa angalau. Hayo ndiyo yaliyojiri leo hapa jijini La Paz, nchini Bolivia katika sekta ya michezo.

Nisalimieni sana huko nyumbani, nakaribia kurudi. Hasta La Vista
 
We jamaa...
 
Mi mambo ya mpira ndio hata sielewagi, hii timu ya huyo Jamenez ishashinda mechi ngapi za kimataifa na za kirafiki?

Au kupata washabiki tu inatosha sio kwamba wapenzi wanataka makombe ili watembee vifua mbere?!
Haijawahi kushinda. Ila ni mabingwa wa kupindua meza kibabe. Samahani. Kupindua ubao wa matokeo, mf 10-0 wao wanageuza inakuwa 0-100!
 
Viongozi Wakuu wa timu ya Mchwa Fc ambayo ni bingwa mtetezi katika ligi ya nchi hii ya Bolivia wamekutana kujadili ajenda mbalimbali katika ofisi ndogo za timu hiyo chini ya Mwenyekiti wa timu hiyo ndugu Jimenez Pablo Martinez.

Ajenda mojawapo ilikuwa ni kupendekeza usajili wa wachezaji wapya ambao wataenda kuipeperusha bendera ya timu yao katika ile ligi maarufu ya upande mmoja.

Pia mtoa taarifa wangu, amenidokeza ajenda ya siri kuhusu ambayo wana Bolivia wengi hawaijui kama imejadiliwa.

Ajenda yenyewe ni kuhusu kocha wa zamani wa timu hiyo ambaye anaitaka kwa udi na uvumba nafasi ya Mwenyekiti wa sasa timu hiyo.

Kocha huyo ambaye anatokea kusini mwa Bolivia na ambaye kwa wiki kadhaa amekuwa akitajwa sana na wapenzi na mashabiki wa timu hiyo mtandaoni kuwa ni chaguo lao sahihi.

Kocha huyo wa zamani ambaye anajulikana sana kwenye michuano ya kimataifa, anamnyima usingizi ndugu Jimenez Pablo Martinez. Hivyo
Mwenyekiti wa timu kwa niaba ya bodi ya Wakurugenzi, ametoa karipio kali kwa wale wote waliopo kwenye timu na wanaonekana wanataka kumuunga mkono Kocha huyo wa zamani.
Miongoni mwa waliopokea karipio la Mwenyekiti ni pamoja na Kepteni wa sasa wa timu hiyo ambaye pia ni mwenyeji wa hukohuko, Kepteni wa sasa wa timu hiyo amepewa onyo na kuambiwa asipoangalia atavuliwa unahodha kama Pogba alivyofanywa na Mourinho kule barani Uropa.

Kwa hiyo ushindani ndani ya timu hautakiwi, Mwenyekiti anataka aendelee kuongoza yeye kwani chini yake timu imeendelea kupata mafanikio ya mataji mbalimbali bila kusahau wimbi kubwa la mashabiki wapya kutoka timu nyingine hasa zile zinazokaribia kushuka daraja.

Ndio maana mambo ya mipira mimi huwa sipendi kufuatilia, yaani kuna figisu nyingi sana, heri hata ya siasa angalau. Hayo ndiyo yaliyojiri leo hapa jijini La Paz, nchini Bolivia katika sekta ya michezo.

Nisalimieni sana huko nyumbani, nakaribia kurudi. Hasta La Vista
hasta la vista.
Hahahhaha big upa.

Membe juuuuuuu.
Kwa fasihi hii JF itadumu daima milele.
Jiwe na Mkuu wa new york hawaambuliivkitu hapa.

Wapambane na ma Gay sasa hivi.

Huku nyuma watu wanafanya yaji kimya kimya
 
Viongozi Wakuu wa timu ya Mchwa Fc ambayo ni bingwa mtetezi katika ligi ya nchi hii ya Bolivia wamekutana kujadili ajenda mbalimbali katika ofisi ndogo za timu hiyo chini ya Mwenyekiti wa timu hiyo ndugu Jimenez Pablo Martinez.

Ajenda mojawapo ilikuwa ni kupendekeza usajili wa wachezaji wapya ambao wataenda kuipeperusha bendera ya timu yao katika ile ligi maarufu ya upande mmoja.

Pia mtoa taarifa wangu, amenidokeza ajenda ya siri kuhusu ambayo wana Bolivia wengi hawaijui kama imejadiliwa.

Ajenda yenyewe ni kuhusu kocha wa zamani wa timu hiyo ambaye anaitaka kwa udi na uvumba nafasi ya Mwenyekiti wa sasa timu hiyo.

Kocha huyo ambaye anatokea kusini mwa Bolivia na ambaye kwa wiki kadhaa amekuwa akitajwa sana na wapenzi na mashabiki wa timu hiyo mtandaoni kuwa ni chaguo lao sahihi.

Kocha huyo wa zamani ambaye anajulikana sana kwenye michuano ya kimataifa, anamnyima usingizi ndugu Jimenez Pablo Martinez. Hivyo
Mwenyekiti wa timu kwa niaba ya bodi ya Wakurugenzi, ametoa karipio kali kwa wale wote waliopo kwenye timu na wanaonekana wanataka kumuunga mkono Kocha huyo wa zamani.
Miongoni mwa waliopokea karipio la Mwenyekiti ni pamoja na Kepteni wa sasa wa timu hiyo ambaye pia ni mwenyeji wa hukohuko, Kepteni wa sasa wa timu hiyo amepewa onyo na kuambiwa asipoangalia atavuliwa unahodha kama Pogba alivyofanywa na Mourinho kule barani Uropa.

Kwa hiyo ushindani ndani ya timu hautakiwi, Mwenyekiti anataka aendelee kuongoza yeye kwani chini yake timu imeendelea kupata mafanikio ya mataji mbalimbali bila kusahau wimbi kubwa la mashabiki wapya kutoka timu nyingine hasa zile zinazokaribia kushuka daraja.

Ndio maana mambo ya mipira mimi huwa sipendi kufuatilia, yaani kuna figisu nyingi sana, heri hata ya siasa angalau. Hayo ndiyo yaliyojiri leo hapa jijini La Paz, nchini Bolivia katika sekta ya michezo.

Nisalimieni sana huko nyumbani, nakaribia kurudi. Hasta La Vista
Shukran! Mwenyekiti hajui demokrasi, suala zima la ushindani na kupata kilicho bora, kwake ni sayansi ya roketi.
 
Back
Top Bottom