mgodi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 2,780
- 1,851
"...Hatuwezi kuahirisha Bunge, ...labda kama ajali hii (ya kuzama kwa meli) ingekuwa imetokea maeneo ya Chamwino (Dodoma)..." - Anne Makinda.
Spika inaonyesha hajui mipaka ya bahari, kwa huo ufafanuzi wake ina maanisha Dodoma kuna bahari.