HAYA ndiyo MANENO hatari TANZANIA...

HAYA ndiyo MANENO hatari TANZANIA...

maisha bora kwa kila Mtanzania
Serikali ya ccm ni sikivu
Serikali imeanza kilifanyia kazi
 
Taarifa ya kiintelijensia.... hamna lolote mostly IGP ndio alikuwa anatumia siku hizi kaacha baada ya kusemwa sana na wanaharakati
 
"Kwa upole zaidi naiomba Serikali yetu sikivu"- Wabunge Chama tawala.
"Kaa chini,usitafute umaarufu"- Makinda and her goons (Ndungai & Mabumba)
"Kutumia kichwa kufugia nywele na sio kufikiri"-AG Werema
"Sergeant at Arms,mtoe mpaka nje ya geti kuu" -Ndungai & Mabumba.
 
"... wakati wakinyang'anyana bunduki na askari, kwa bahati mbaya risasi moja ikafyatuka na ikampata marehemu kichwani"

Meli ILIWEZA kuzama au nyumba ILIWEZA kuteketea na
Watu kadhaa WALIWEZA kufa.
 
wakishaona wameshindwa na hawana jinsi kutatua tatizo,ndio wanabun misemo mbalimbali ya kiswahili
 
sasa imekuwa kama misemo mbalimbali ya kiswahili ndio ya kujitetea pale tunapokuwa tumebanwa,lkn tubadilike twende na wakati hizo zama zimeshapita,tusijejikuta tunaishia kubaya.Mungu ibariki tanzania
 
Meli ilizama saa tisa na kidogo hivi "TAARIFA YA OFISI YA WAZIRI MKUU" Juzi
 
Tuko kwenye mchakato,
tunaongea na wafadhili,
tuviachie vyombo husika vitalishughulikia,
Hatuna USHAHIDI wa kutosha,
TUMEUNDA TUME TUIACHIE IFANYE KAZI YAKE
 
watalii walionusurika katika ajali ya boti wamesifia ukarimu wa wazanzibar
 
"...Hatuwezi kuahirisha Bunge, ...labda kama ajali hii (ya kuzama kwa meli) ingekuwa imetokea maeneo ya Chamwino (Dodoma)..." - Anne Makinda.
 
maneno macgafu sn kutoka kwa watu wa chama kichafu ccm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom