Haya Ndio Matokeo ya Kidato cha Sita

Nimefurahishwa zaidi na matokeo ya shule za umma ingawa bado hazifikia viwango vya baadhi ya shule binafsi ila matokeo ya vijana wa Mzumbe, Kibaha, Tabora na wengineo yanatia matumaini kwa wengi wetu sisi ambao tunapenda kuona kodi zetu zikisaidia wengi na kutoa matokeo mazuri. Hali hii inaleta matumaini kwa watoto wengi wa Tanzania ambao wazazi au walezi wao hawawezi kumudu gharama za zaidi ya laki 3 kwa mwaka au hushindwa kupita michujo ya baadhi ya shule binafsi.

Nimefurahishwa pia na kuona jinsi gani vijana walivyoonyesha ujasiri na ushupavu wa kukabiliana na masomo ya sayansi na hisabati pia. Siku zote naamini bila hisabati maisha ya mwanataaluma huwa ni magumu lakini pia kufanya michepuo ya sayansi sekondari huwaandaa wanafunzi vyema kwa kuwapa wigo mkubwa wa masomo ya kufanya baadae.

Hongereni sana vijana, hongereni sana walimu. Naomba msijebweteka katika shughuli zenu za siku za usoni. Kila la kheri

s0582 ununio islamic high school
div-i = 0 div-ii = 4 div-iii = 19 div-iv = 5 fld = 1

s0182 al-farouq seminary
div-i = 1 div -ii = 3 div-iii = 20 div-iv = 7 fld = 4

s0254 wali-ul-asr girls seminary
div-i = 1 div-ii = 3 div-iii = 10 div-iv = 6 fld = 6

s0197 matangini islamic seminary
div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 3 div-iv = 0 fld = 1

s0432 jabal-hira muslim junior seminary
div-i = 0 div-ii = 3 div-iii = 12 div-iv = 3 fld = 6

s0438 masjid qubah muslim seminary
div-i = 1 div-ii = 6 div-iii = 12 div-iv = 6 fld = 2

s0493 al-haramain islamic seminary
div-i = 2 div-ii = 9 div-iii = 30 div-iv = 9 fld = 12

Back
Top Bottom