Haya ndio matokeo hasi ya kutokuwa na Bunge mubashara. Aibu sana kwa wanaoonekana pichani

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,669
image.jpeg

Hii picha inasema mambo mengi sana,hapo mbele anaonekana yupo January Makamba(Waziri wa Mazingira) akijibu hoja juu ya kuidhinishwa kwa Mkataba wa kutunza Mazingira.

Lakini nyuma yake,sehemu kubwa ya mawaziri na wabunge wapo "busy" na story zao,kila mtu yupo na lake,tena huu ni upande wa mawaziri,lakini kwa mbali wanaonekana wabunge kama kina Ritha Kabati ambao wanaonekana wamehamia huu upande ili kupiga soga tu.Pembeni ya Kabati yupo nadhani mbunge wa viti maalumu Kagera,anajipiga "selfie"

Hii ni tafsiri ya haraka kuwa hii mambo ya kutokuwa na bunge "Live" linawafanya watu wakae bungeni kupiga soga tu
 
View attachment 733551

Dah! hatari lakini tutafika,hawa jamaa wa nyuma hawana habari kabisa ya nini Makamba anasema
 
View attachment 733551
Hii picha inasema mambo mengi sana,hapo mbele anaonekana yupo January Makamba(Waziri wa Mazingira) akijibu hoja juu ya kuidhinishwa kwa Mkataba wa kutunza Mazingira.

Lakini nyuma yake,sehemu kubwa ya mawaziri na wabunge wapo "busy" na story zao,kila mtu yupo na lake,tena huu ni upande wa mawaziri,lakini kwa mbali wanaonekana wabunge kama kina Ritha Kabati ambao wanaonekana wamehamia huu upande ili kupiga soga tu.Pembeni ya Kabati yupo nadhani mbunge wa viti maalumu Kagera,anajipiga "selfie"

Hii ni tafsiri ya haraka kuwa hii mambo ya kutokuwa na bunge "Live" linawafanya watu wakae bungeni kupiga soga tu
hii kitu nimetoka kuitolea hoja asubuhi tu hata siku haijaisha
 
Picha "imekarabatiwa" na vijana wa bavicha ambao wanamuamini da'Mange hata akisema Mtulia anaumwa hoi ICU.

1.jpg

image-jpeg.733551
 
Back
Top Bottom