Haya Ndio Mataifa huru duniani

Haya Ndio Mataifa huru duniani

Dunia ina jumla ya Nchi 195 lakini ni Mataifa 5 tu ndiyo yako huru kisiasa, kiuchumi, kijeshi nknk. Tunavyozungumzia Mataifa huru ni yale ambayo hayaingiliwi kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na siyo kibaraka wa taifa fulani.

Mataifa haya huwa yanafanya maamuzi magumu pindi usalama wa nchi unapokuwa hatarini. Yanajiweza kijeshi, technolojia, hayaingiliwi kisiasa na taifa lolote lile. Na pia hayaogopi taifa lolote lile linapokuja suala la usalama wa nchi.

Mataifa 5 tu yako huru ambayo ni:
1. Russia
2. USA
3. China
4. Iran
5. North Korea
Hayo ndiyo Mataifa huru Duniani it’s crazy lakini ndio hali halisi. Ni huzuni kuona Mataifa makubwa kama Ufaransa, Ujerumani, Japani na UK hayako huru.

Hata WW3 itatokea bhas hayo Mataifa juu yatakua chanzo.
Huyo Mchina hana kitu,umesahau alivyonywea swala la Taiwan?
 
Hujui chochote waisrael walioko marekani ni wengi kuliko waliopo Israel na ndio wanaendesha siasa za marekani, hivi hujiulizi netanyau alipata wapi ujasiri wa kuwakoromea viongozi wa marekani. Ingekuwa Taifa jingine vingeanza vikwazo na mkakati wa kumwangusha kiongozi wa Israel lakini kwanini walikaa kimya

Kukoromea ndio imeipa ubabe au vp.acha mahaba mchungaji hio Israel kimataifa haina impact yeyote tofaut na us au Russia hao wanashikilia dunia lakn c israel
 
Dunia ina jumla ya Nchi 195 lakini ni Mataifa 5 tu ndiyo yako huru kisiasa, kiuchumi, kijeshi nknk. Tunavyozungumzia Mataifa huru ni yale ambayo hayaingiliwi kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na siyo kibaraka wa taifa fulani.

Mataifa haya huwa yanafanya maamuzi magumu pindi usalama wa nchi unapokuwa hatarini. Yanajiweza kijeshi, technolojia, hayaingiliwi kisiasa na taifa lolote lile. Na pia hayaogopi taifa lolote lile linapokuja suala la usalama wa nchi.

Mataifa 5 tu yako huru ambayo ni:
1. Russia
2. USA
3. China
4. Iran
5. North Korea
Hayo ndiyo Mataifa huru Duniani it’s crazy lakini ndio hali halisi. Ni huzuni kuona Mataifa makubwa kama Ufaransa, Ujerumani, Japani na UK hayako huru.

Hata WW3 itatokea bhas hayo Mataifa juu yatakua chanzo.
Wale wakatili kuliko wote duniani siwaoni hapo.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom