Haya ndio mapenzi ya kweli sio kama siku hizi

Haya ndio mapenzi ya kweli sio kama siku hizi

Fakharu

Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
60
Reaction score
2
Nikiangalia hii picha inanifunza mambo mengi sana lakini nitasema machache tuuu.Kwanza inaonyesha kua mapenzi sio lazima uwe na magari au pesa nyingi ndio mpendane,Pili mwanamke wa sapuli hii ndio amekupenda kweli kweli,Cha tatu wanawake wengi wa mjini wapenda mwanaume mwenye pesa kama hauna hamna penzi hapo.Ni hayo tu lkini yapo mengi sana ngoja niwachi wanaJF nao watoe yao
 
Naungana na wewe mkuu utafiti,,ukiiangalia hiyo picha ni noma sana
 
Last edited by a moderator:
mimi sikubaliani na hiyo picha yako ... mapenzi na njaaa amuna
 
Na njaa hapo lkini sio wakusema mkalala bila kula hamna sema wanawake wengi wanapenda ukiwa tayari unazo..lkini kuna yule anakupenda ukiwa hauna kitu mpka Mungu anakusaidia unazipata sasa ndio wa ukweli kabsa
 

Attachments

  • 1394261967007.jpg
    1394261967007.jpg
    42.6 KB · Views: 292
Mbona maporini? Hao wanadanganyana house girl vs house boy
 
Hamna..tafsili yako mbaya sana ukiona watu mapori basi wafanyakazi wa ndani,jifunze kujua vitu
 
Mapenzi halisi mpaka leo yako vijijini!!! Huko wazee wanajiheshimu na kuheshimiwa na hawaitwi BEBI!!!
 
Back
Top Bottom