Haya ndio magari ghali zaidi duniani kwa mwaka 2016(video)

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,804
Leo hii katika ulimwengu wa magari kwa wale wanaopenda magari ya aina mbalimbali ,imetolewa orodha ya magari 10 ghali zaidi duniani ambayo thamani ya juu ya gari namba moja ni bilioni 10 na zaidi listi nzima iko hapa
 
Mkuu hiyo bilioni kumi ni USD or hii yetu ya madafu!!
 
siwezi enda nalo kijijini kwetu yako Chini sana mi sijayapenda
 
Ukileta Bongo likiharibika unapeleka Japan Matengenezo au unawaita mafundi hapahapa?
 
OTE="uporo wa wali ndondo, post: 17317463, member: 186696"]Ata yangekuwa yapo juu kama trekta ,huna hela yakuyanunua .[/QUOTE]:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom