nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,909
Mh. Lowasa
1. Alivunja mkataba kati ya city water na serikali ikashinda kesi
2. Alisimamia kidete katika kubatilisha matumizi ya maji ya ziwa victoria dhidi ya mkataba wa kikoloni.
na hivyo kupelekea watanzania kuanza kunufaika na maji ya ziwa victoria.
3. Alisimamia kwa nguvu uanzishwaji na ujenzi wa shule za kata lakini alivyotoka serikalini utekelezaji ukawa wa hovyo.
4. Alitaka kuvunja mkataba wa Richmond lakini mamlaka za juu zikaingilia.
5. Alitoa kauli iliyosababisha nchi ya malawi kuufyata baada ya kuleta ***** ***** dhidi ya Tanzania.
Ongeza ya kwako
Magufuri
1. Alikamata meli ya samaki kwa mbwembwe na hivyo kuitia hasara serikali mabilioni ya shilingi kwa kushindwa kesi mahakamani.
2. Alisimamia uvunjwaji wa kituo cha mafuta kule mwanza na serikali ikashindwa kesi na hivyo kupata hasara ya mamilioni.
3. Hana kauli nzuri kwa watanzania pale aliposema watakao shindwa kulipa nauli ya kivuko cha kigamboni wapige mbizi