Kawaida nipo interested zaidi na tech affairs, ila ukiwa free jaribu pitia hawa ujionee wababe wanaomtesa hata USA akiingia kichwa kichwa!.
- iSKORPiTX
(huyu jamaa ana record ya dunia alihack website 404,907 kwa mara moja)
- sl1nk
(huyu alihack websites za Department of Defense-DoD, Pentagon, NASA, NSA, jeshi la USA, Department of the Navy, Space and Naval Warfare System Command na websites za serikali ya UK)
- TiGER-M@TE
(huyu alihack website 700,000 kwa mara moja zikiwepo Google, Yahoo, Avast, Microsoft, Bing, Nokia na Kaspersky)
Pitia humu kujisomea habari zao nyingi. The Hacker News — Most Popular Cyber Security, Hacking News Site