Point yako ina mantiki kidogohuyo ni hacker ndo maana hataki huo mzigo
mm mwenyewe nikapata upenyo hawa wa kwetu nawalizaPoint yako ina mantiki kidogo
1990 inernet ilikuwepo?Mwaka 1990 kuna jamaa anaitwa Kevin Poulsen alihack kituo cha radio KIIS-FM akacrash simu zote kupiga kwenye kile kituo ili yeye ashinde zawadi yao ilikuwa gari Porsche 944.
FBI walipomshtukia ikabidi jamaa akimbie mji, walipokuja mdaka alifungwa miaka 5 na akazuiwa kutumia internet kwa miaka 3 straight.
Isije ikawa huyo aliyeshinda hizo billions nae ni ukanjanja jamaa wanamuita waje wamdake kiulaini!.
Toka miaka ya 1960s internet ilianza kufanya kazi kupitia Packet Switch Networks kama ARPANET, Tymnet, Telenet na CYCLADES. Enzi hizo internet ilikuwa kwa watu professionals kama reseachers, proffessors, jeshi, Media, Banks etc.1990 inernet ilikuwepo?
Thanks Wick. Hujawahi kuniangusha broh..Toka miaka ya 1960s internet ilianza kufanya kazi kupitia Packet Switch Networks kama ARPANET, Tymnet, Telenet na CYCLADES. Enzi hizo internet ilikuwa kwa watu professionals kama reseachers, proffessors, jeshi, Media, Banks etc.
Hacking hazikuanza baada ya commercial internet kuzagaa kwenye historia hacking zilianza miaka ya 1900 huko kabla hata ya wazo kuwepo.
Miaka ya 1957 kuna dogo kipofu wa miaka 7 alikuwa anaweza hack mtandao wa simu kwa kutumia sauti yake tu, akapiga simu bila kulipia hela!.
Kuna mwingine anaitwa Kevin Mitnick miaka 13 tu lakini mwisho wa maelezo, yeye alikuwa anahack mitambo ya kulipia bus ticket, mitandao ya simu kupiga bure, alikuwa anahack computer za jeshi, makampuni anaiba software zao ambazo bado hazijatoka. Alipokamatwa ilibidi polisi waiombe mahakama jamaa asipewe dhamana wala asiwe karibu na kifaa cha mawasiliano kwamba alikuwa anaweza hack mtandao wa NORAD akaruhusu mabomu ya nyuklia kulipuka marekani. Hiyo yote miaka ya 1979 bado hata WWW haijawa kwa watu wote!.
Makundi ya hackers kama The 414s, KILOBAUD, Legion of Doom, Cult of the Dead Cow nayo kipindi hicho yapo moto bila kusahau virus washaharibia computer watu sana!.
Miaka ya 1990 Tim Berners Lee toka CERN akatambulisha rasmi World Wide Web (www) duniani. Haimaanishi internet haikuwepo ila aliisimplify mtu wa kawaida kuweza itumia!. Na mwaka 1994 Hackers nao wakaiadapt Websites (www) vizuri toka kwenye mfumo wa zamani wa Bss.
Internet ilikuwa imeshaanza muda sana, 1990 WorlWideWeb ndio ilizaliwa rasmi.
Pesa chafu hizo zitachomwa moto.[emoji1] [emoji1] [emoji1] unaleta mzaa na pesa !!!View attachment 813505
Anaongelea Ulaya sio Tanzania1990 inernet ilikuwepo?
Toka miaka ya 1960s internet ilianza kufanya kazi kupitia Packet Switch Networks kama ARPANET, Tymnet, Telenet na CYCLADES. Enzi hizo internet ilikuwa kwa watu professionals kama reseachers, proffessors, jeshi, Media, Banks etc.
Hacking hazikuanza baada ya commercial internet kuzagaa kwenye historia hacking zilianza miaka ya 1900 huko kabla hata ya wazo kuwepo.
Miaka ya 1957 kuna dogo kipofu wa miaka 7 alikuwa anaweza hack mtandao wa simu kwa kutumia sauti yake tu, akapiga simu bila kulipia hela!.
Kuna mwingine anaitwa Kevin Mitnick miaka 13 tu lakini mwisho wa maelezo, yeye alikuwa anahack mitambo ya kulipia bus ticket, mitandao ya simu kupiga bure, alikuwa anahack computer za jeshi, makampuni anaiba software zao ambazo bado hazijatoka. Alipokamatwa ilibidi polisi waiombe mahakama jamaa asipewe dhamana wala asiwe karibu na kifaa cha mawasiliano kwamba alikuwa anaweza hack mtandao wa NORAD akaruhusu mabomu ya nyuklia kulipuka marekani. Hiyo yote miaka ya 1979 bado hata WWW haijawa kwa watu wote!.
Makundi ya hackers kama The 414s, KILOBAUD, Legion of Doom, Cult of the Dead Cow nayo kipindi hicho yapo moto bila kusahau virus washaharibia computer watu sana!.
Miaka ya 1990 Tim Berners Lee toka CERN akatambulisha rasmi World Wide Web (www) duniani. Haimaanishi internet haikuwepo ila aliisimplify mtu wa kawaida kuweza itumia!. Na mwaka 1994 Hackers nao wakaiadapt Websites (www) vizuri toka kwenye mfumo wa zamani wa Bss.
Internet ilikuwa imeshaanza muda sana, 1990 WorlWideWeb ndio ilizaliwa rasmi.
Alishanielezea kwa kina mkuu. EnjoyAnaongelea Ulaya sio Tanzania
Ilikuwepo ila ilikuwa inatumiwa sana na vyombo vya ulinzi1990 inernet ilikuwepo?
SafiiToka miaka ya 1960s internet ilianza kufanya kazi kupitia Packet Switch Networks kama ARPANET, Tymnet, Telenet na CYCLADES. Enzi hizo internet ilikuwa kwa watu professionals kama reseachers, proffessors, jeshi, Media, Banks etc.
Hacking hazikuanza baada ya commercial internet kuzagaa kwenye historia hacking zilianza miaka ya 1900 huko kabla hata ya wazo kuwepo.
Miaka ya 1957 kuna dogo kipofu wa miaka 7 alikuwa anaweza hack mtandao wa simu kwa kutumia sauti yake tu, akapiga simu bila kulipia hela!.
Kuna mwingine anaitwa Kevin Mitnick miaka 13 tu lakini mwisho wa maelezo, yeye alikuwa anahack mitambo ya kulipia bus ticket, mitandao ya simu kupiga bure, alikuwa anahack computer za jeshi, makampuni anaiba software zao ambazo bado hazijatoka. Alipokamatwa ilibidi polisi waiombe mahakama jamaa asipewe dhamana wala asiwe karibu na kifaa cha mawasiliano kwamba alikuwa anaweza hack mtandao wa NORAD akaruhusu mabomu ya nyuklia kulipuka marekani. Hiyo yote miaka ya 1979 bado hata WWW haijawa kwa watu wote!.
Makundi ya hackers kama The 414s, KILOBAUD, Legion of Doom, Cult of the Dead Cow nayo kipindi hicho yapo moto bila kusahau virus washaharibia computer watu sana!.
Miaka ya 1990 Tim Berners Lee toka CERN akatambulisha rasmi World Wide Web (www) duniani. Haimaanishi internet haikuwepo ila aliisimplify mtu wa kawaida kuweza itumia!. Na mwaka 1994 Hackers nao wakaiadapt Websites (www) vizuri toka kwenye mfumo wa zamani wa Bss.
Internet ilikuwa imeshaanza muda sana, 1990 WorlWideWeb ndio ilizaliwa rasmi.
Mwaka 1990 kuna jamaa anaitwa Kevin Poulsen alihack kituo cha radio KIIS-FM akacrash simu zote kupiga kwenye kile kituo ili yeye ashinde zawadi yao ilikuwa gari Porsche 944.
FBI walipomshtukia ikabidi jamaa akimbie mji, walipokuja mdaka alifungwa miaka 5 na akazuiwa kutumia internet kwa miaka 3 straight.
Isije ikawa huyo aliyeshinda hizo billions nae ni ukanjanja jamaa wanamuita waje wamdake kiulaini!.
Nashukuru kwa elimu mkuu,Toka miaka ya 1960s internet ilianza kufanya kazi kupitia Packet Switch Networks kama ARPANET, Tymnet, Telenet na CYCLADES. Enzi hizo internet ilikuwa kwa watu professionals kama reseachers, proffessors, jeshi, Media, Banks etc.
Hacking hazikuanza baada ya commercial internet kuzagaa kwenye historia hacking zilianza miaka ya 1900 huko kabla hata ya wazo kuwepo.
Miaka ya 1957 kuna dogo kipofu wa miaka 7 alikuwa anaweza hack mtandao wa simu kwa kutumia sauti yake tu, akapiga simu bila kulipia hela!.
Kuna mwingine anaitwa Kevin Mitnick miaka 13 tu lakini mwisho wa maelezo, yeye alikuwa anahack mitambo ya kulipia bus ticket, mitandao ya simu kupiga bure, alikuwa anahack computer za jeshi, makampuni anaiba software zao ambazo bado hazijatoka. Alipokamatwa ilibidi polisi waiombe mahakama jamaa asipewe dhamana wala asiwe karibu na kifaa cha mawasiliano kwamba alikuwa anaweza hack mtandao wa NORAD akaruhusu mabomu ya nyuklia kulipuka marekani. Hiyo yote miaka ya 1979 bado hata WWW haijawa kwa watu wote!.
Makundi ya hackers kama The 414s, KILOBAUD, Legion of Doom, Cult of the Dead Cow nayo kipindi hicho yapo moto bila kusahau virus washaharibia computer watu sana!.
Miaka ya 1990 Tim Berners Lee toka CERN akatambulisha rasmi World Wide Web (www) duniani. Haimaanishi internet haikuwepo ila aliisimplify mtu wa kawaida kuweza itumia!. Na mwaka 1994 Hackers nao wakaiadapt Websites (www) vizuri toka kwenye mfumo wa zamani wa Bss.
Internet ilikuwa imeshaanza muda sana, 1990 WorlWideWeb ndio ilizaliwa rasmi.
Inawezekana hack data zake matokeo utahack vipi wakati watu wanaona mchezo live!..Hivi unaweza kuhack matokeo ya uwanjani?