Haya mashekh kazi kwenu........

Tan90

Member
Dec 2, 2016
11
2
1.Hivi mtu anaweza kuoa mtoto wa mama yake wa kambo?????
2.unawza kuoa mtoto wa bamkubwa?????
3.je anaweza kuoa mtoto wa mama Mkubwa/mdogo kwa upande wa mama.????
 
1.Hivi mtu anaweza kuoa mtoto wa mama yake wa kambo?????
2.unawza kuoa mtoto wa bamkubwa?????
3.je anaweza kuoa mtoto wa mama Mkubwa/mdogo kwa upande wa mama.????

Namba mbili na tatu inaruhusiwa Ila namba moja hairuhusiwi
 
Back
Top Bottom