Haya mapenzi yamezidi sasa!!...

Hayo sio mapenzi Mzee, ni ngono ushenzi na ufuska. We mkeo unaweza kumfanya hivyo?
 
Tuanze kuwalipisha kodi na malaya wa TZ
hahaha TZ inanichekesha ukahaba bongo haramu afu tunapokea misaada kutoka ulaya hujui kwamba hizo ni kodi za raia wao, wakiwemo makahaba tunaoita haramu.
 
Aiseeee! Ndomana nowdays nakua mgumu sana kutoa salam za kushikana mkono. Hatari sana

Mkuu mimi niliacha siku nyingi maana kama sio kuishia kushika mikono ya HAWA WAPIMA OIL basi utashika yetu sisi wanaumme tusionawa mikono baada ya kukojoa!!!! Hivyo kama sio shombo la Papuchi utashika shombo ya Sausage🙂
 
Hiyo ilikuwa "Makono Day" nini duh!jamaa wananawa utadhani wameona ugali.
 
Hahaaaa inaprove tupo kundi moja na Wanyama, maana mambo yote hadharani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…