Haya mapenzi ni shida aisee, picha inaongea

Nawapongeza wale wale waliofumaniana na kufikia uamuzi wenye busara za kichepuko kubadilisha kama walivyofumana. Kama genye zimehama kwa mke na kwenda kwa mke wa rafiki naye imekua the same, bora mkubaliane kila kubadilishana.
 
Hehehehe daaaah mungu atusaidie asitupe macho ya ziada manaake unawezs mtu jidedisha hivihivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…