Nakuaminia... si unakumbuka siku ile uliponipiga mzinga wa teni... Kumbe ndio kati ya njia zako za kujiongezea kipato.. hongera.
hHHhahahaaah nyooooo
mara ya mwisho kuomb ela ni form 2
NILIOMBA ELABYA MITIHANI
MI JI MChaga by original masai by culture
natafuta ela sitafuti watu
Aite hapa miss chagga.. atoe maoni Shy land
aisee nimepita
Mara ya mwisho kuomba hela ni lini b??
Mara ya mwisho kuomba hela ni lini b??
leo asubuhi
Hahaha ukijua unafanyaje?
Khaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!! B leo leo tu... Ni shigida kama ndo ivo..
Kila mla huliwa ukute na wife yupo na mume wa baby hatariiiii.