Haya mapenzi ni kitu gani??????????????

Haya mapenzi ni kitu gani??????????????

japhet nkwabi

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
91
Reaction score
16
kila ukisikiliza nyimbo wanaimba mapenzi,kesi nyingi mtaani mapenzi,ukikuta mtu analia kisa mapenzi,je haya mapenzi ni nn?
 
Mapenzi ni uwanja mpana sana, naweza sema yamegawika sehemu kuu mbili, usual love = like na romantic love.
USUAL LOVE; eg: kupenda timu, kundi/groups flani, chakula, vinywaji, watu kama vile mama, baba, kaka, dada etc. Mapenz haya humfanya mtu kupenda bila ya wivu, yaani hawezi kujiskia vibaya hata wengine wakikipenda ukipendacho hata kama wengine watakipenda zaidi ya wewe ukipendavyo.
ROMANTIC LOVE; haya ni mapenzi ya mtu kumpenda mtu ambaye anaweza kujamiiana nae (kugegedana) with exclusion of all others, na ikiwa other pple hawatakua excluded, hugeuka na kuwa machungu, nawezasema yanaelement flan ya uchoyo, that is to say hata watu wengine wasipompenda umpendae inakuwa bora zaidi, mapenz haya ndio huumiza vichwa vya walio wengi kama sio wote, ukipata mapenzi haya huwezi athirika hata kama utakosa usual love, but ukikosa romantic love/usipopendwa na umpendae hata ukipata usual love bado unajihis si chochote si lolote. Kwa uelewa wangu mdogo MAPENZ nayasoma kihivyo.
 
Mapenzi ni utamu/raha unaokufanya/inayokufanya ujione kama uko peponi kwa kupendwa/kupenda kupita maelezo, lakini katika dunia ya leo ni nadra sana kupata mapenzi ya kweli.

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom