Haya mapenzi haya!

Challya

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
469
Reaction score
609
Kuna wakati unaamua kuacha kuhangaika unaamua kutulia na mpenzi mmoja na kuwa muaminifu. Unakuwa committed kwake kwa kila kitu, ila sasa unakuta mpenzi uliyenae hajatulia anachepuka tu, hii inauma sana.

Unaona ni bora tu uendelee kuhangaika tu hamna namna.
 
Mambo mazito sana
 
Tafuta KE mwingine Mkuu, pole sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] una umri gani mkuu? Nilivyokua na miaka 19 demu wangu aliniacha nilichanganyikiwa hatarii..nilikua natoka home naenda nazunguka karibu na home kwao kisha narudi kwetu, kesho tena ratiba ile ile. Sijui kwa nini nahisi na wew nd'o unapotia kipindi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…