Unataka kumuacha, umepata kwa kuhamia? Na huko uendako umejihakikishia hutorudi kujutia unakoacha? Maana Tamaa za mda mfupi zinawazuzuaga nyie! Sasa unakiri kupendwa na kufanyiwa vizuri sasa unataka nn!? Mapenz bhana!! Mwisho wa yote hayo ni kumbwela mbwela tu. Sasa njia rahisi kabisa ya kufanya... Nunua kondom Kisha pasua utoe kondom kisha ubaki na kasha tupu, kisha uziweke kwenye mfuko wako,. Mtakapokutana uigize kama unatoa cm halafu uzidondoshe kasha za kondom akiwa anaona halafu ujifanye kama unashtuka hivi..... Kisha urudi kutuambia. Kila la heri...