mkuu kwann untk mwacha?Heshima kwenu wakuu
kitambo nilipotea ila nimerudi
Nampenda lakini nataka nimuache
kila nikifikiria kumuacha ananifanyia jambo zuri nasahau mawazo ya kumuwacha,najikuta najiona mjinga
nipeni mbinu za kumwacha kimya kimya
Ushauri pls
kama huna usiquote
Aende kwa gardner kamkojoza mtu kwa miaka 15sasa mazuri yote hayo unataka umuache kwanini, hakukojozi au [emoji15] [emoji15]
Hawajuagi wanachokitaka hawa. Kesho akipata lijamaa la kumdunda atakuja hapa kuomba ushauri jinsi ya kumpata mpenzi wake wa zamani ambae keshaoa. Kwa mtindo huu nyumba ndogo haziishi ng'osasa mazuri yote hayo unataka umuache kwanini, hakukojozi au [emoji15] [emoji15]
Kama bado unampenda usimwache wanaume sisi ni walewale tu pigania penz lako mpaka hatua ya mwsho one day changamoto zitaisha na atadhamin uwepo wako kwakuwa mvumilvu
Hakuna mkamilifu utaumizwa tena uendako[/QUOTE
Asante kwa ushauri.
hajasema kama hiyo ndo sababu, ngoja aje akisema ndivyo tutamdirect kwa jamaaAende kwa gardner kamkoja mtu kwa miaka 15