Haya mapenzi acheni tu jamani

Haya mapenzi acheni tu jamani

Love on air baby!!!
Twambie wajisikiaje eti, ukisikia jina Aisha??
Je ukiikumbuka harufu yake taam?
Na je vile anatabasamu mnapokutanisha macho[emoji6]
Je pale ujilazapo pembeni yake?? Pale mambo yote ya nje yanapogeuka upuuzi??
Je bado hujatamani dunia isombwe tu na maji mbaki wawili
Na je vipi unapommiss hutamani kuwa kama ndege upae angalau umwone tu, umguse tu[emoji4][emoji4][emoji4]
Love is a beautiful thing[emoji3590]
Enjoy Neb


Asante client3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha kuna mtu aliwahi kujiapiza kulipiza kisasi humu

Akaainisha miakakati yake ya kulipiza kisasi, hatua kwa hatua

Na akaahidi kuleta mrejesho, mpaka kesho hajulikani huyu mwamba aliishia wapi

Wewe huna tofauti na wanaosomesha wachumba, wanaojengea wajumba kwenye viwanja vyao... Siku nikisikia ulijinyonga sitashangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Akiniacha ntaleta mirejesho mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umebadilisha dini bas na iwe ni kwaajili ya kufata haki na siyo kwaajili ya kufata mpenzi je siku akikuacha utabadilisha tena ukipata wa dini nyingine?
ifate dini ya haki kwa kutamka na kukiri kwa moyo kuwa umeamua kuwa upande wa haki

GunFire
 
Ntayaacha hata haya maisha ila sio kuacha kula kitimoto, mdudu ni mtam sana.
 
Back
Top Bottom