Haya mapenzi acheni tu jamani

Haya mapenzi acheni tu jamani

Sasa kama mmoja anakufurahisha sana. Je ukiwa nao wanne si raha mara nne zaidi?

Cha msingi usisahau kukamilisha wake wanne.

NB:K ya kupewa muda wowote bila kikomo ni kitu hatari.
 
Write your reply...DAAH WE ACHA TUUH NIKADANGANYA NAITWA STEPHEN NG'OMBE NI MSABATO MTU WA SONGEA KISA TU NIPATE PAPUCHI YA MTOTO RACHEL MWENYE CHURA RANGI CHOCOLATE COLOUR ANA MSHEPU SIO POA HALAFU KAPOLE MASKINI NI KANISANI NA NYUMBANI NA DUKAN HAPO KWAO HANA MOVEMENT NYINGI

KUMBE MUUNI NI ABDALAH KICHWAPANZI MPIGA ZAFA WA UNGUJA

MUNGU NISAMEHEE TUUH
 
Sijui ni mimi tu,sijui ni misimamo na itikadi zangu....

Daima mwanaume kubadilishwa kwa namna yoyote na mwanamke huwa nachukulia ni udhaifu mkubwa sana wa mwanaume....

Ni kutojisimamia,kujifanya haupo sehemu sahihi,..na zaidi ni kuuza ile hadhi ya uume ile asili iliyotupa.

Anyway,kila jema kwako mkuu.
 
Mahaba mahabani, enjoy tu maana ni raha sana kupendana.

Ila haya mambo bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
I once dated a guy for two years na tulikuwa tunasali pamoja. Baadae nikagundua hakua wa dhehebu sawa na mimi ila alifanya hivyo ili tuwe pamoja. Nilicheka sana.
Aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...DAAH WE ACHA TUUH NIKADANGANYA NAITWA STEPHEN NG'OMBE NI MSABATO MTU WA SONGEA KISA TU NIPATE PAPUCHI YA MTOTO RACHEL MWENYE CHURA RANGI CHOCOLATE COLOUR ANA MSHEPU SIO POA HALAFU KAPOLE MASKINI NI KANISANI NA NYUMBANI NA DUKAN HAPO KWAO HANA MOVEMENT NYINGI

KUMBE MUUNI NI ABDALAH KICHWAPANZI MPIGA ZAFA WA UNGUJA

MUNGU NISAMEHEE TUUH

Wasabato wanapeanaga wenyew kwa wenyw kwa experience yangu
 
Write your reply...Huo ni ukweli wala si uongo na wangine wanaoana humo humo kanisani kwao na ndo maana nikajifanya msabato mwema kama yeye ili nipate papuchi yake kirahisi mkuu recycle Bin
 
Nimetoka dukani asubuhi hii kunua kanzu yangu nzuri na kibaragashia kwa ajili ya ijumaa ndugu zanguni.

Nimeaga naenda kanisani misa ya saa 12, kumbe nilipita zangu kwa washikaji zangu kina Rama, kupata A, B,C. za maeneo yapi wanauza kanzu za bei chee.

FB, nimeshabadilisha jina siku hizi najiita Omar bin Shafii. badala ya jina langu halisi Nebuchadnezzar John.
Marafiki wanaonifahamu wameshituka sana.

Jana jumamosi kuna wanajumuia yetu wamekuja kututembea hapa home ili kujua kinachoendelea. Wameimba nyimbo na kufanya sala ili kama ni mapepo yatoke maana sio kitu cha kawaida kubadilika kiasi hicho. Kuua soo niliwaahidi kurudi nyuma na kutazama mapito ya zamani.

Najua hamtaamini ila ukweli ni kwamba, siku hizi sinywi pombe wala situmii kitimoto. Hii ni kitu haram, Kitab kitukufu kinakataa.

Haki ya nani siku Aisha ukiniacha lazima nikuteketeze kwa gunia sita za mkaa.

#KingNebu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza shule?
 
Kuna vitu binadamu anafanya kutokana na msukumo wa hisia zinazotoka nje, tambua msukumo huohuo kutoka kwa wazazi Ndio uliomfanya binti Aisha kusimama na kugeuza msimamo wako, ila ukweli ni kwamba dhamira hiyo haijatoka Ndani yako Bali hisia tuu Hivyo Huna uhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisha shikilia hapo hapo usiachie tena zidisha mauno,mabwege bado wapo wengi mtaani
 
Back
Top Bottom