Haya maneno huwa yananitatiza

Haya maneno huwa yananitatiza

kyatamato

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
387
Reaction score
269
Jamani haya maneno nikisikia mtu anayatamka au kuyasoma sehem yananitatizaga…

- Nyani haoni kundule
-Zimwi likujualo halikuri likakwisha
jamani msaada jamani…
 
kyatamato, hayo si maneno, ni misemo. Haya, niambie watatizwani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom