The Bleiz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 5,131 Reaction score 13,774 Aug 23, 2021 #1 Haya mambo yasikie tuu au kuishia kuyaona kwenye social media. Sent using Jamii Forums mobile app
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,201 Aug 24, 2021 #2 Habari hizi ishia kuzisoma kwa watu yakikufika utakuwa chini kama viatu. Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Habari hizi ishia kuzisoma kwa watu yakikufika utakuwa chini kama viatu. Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Pablo Blanco JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 7,328 Reaction score 6,656 Aug 24, 2021 #3 aliyeelewa atafsiri
Post M-alone JF-Expert Member Joined Aug 18, 2021 Posts 2,962 Reaction score 9,557 Aug 25, 2021 #4 Pablo Blanco said: aliyeelewa atafsiri Click to expand... Huyo dada alipata ajali akafariki akiwa mjamzito wa miezi 8, bahati nzuri mtoto alipona, sasa baba mtu alirudi zile zile sehemu alikopiga picha na mama wa mtoto wakati wa ujauzito na kupiga picha na hicho kitoto ....
Pablo Blanco said: aliyeelewa atafsiri Click to expand... Huyo dada alipata ajali akafariki akiwa mjamzito wa miezi 8, bahati nzuri mtoto alipona, sasa baba mtu alirudi zile zile sehemu alikopiga picha na mama wa mtoto wakati wa ujauzito na kupiga picha na hicho kitoto ....
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,515 Aug 25, 2021 #6 St Lunatics said: Habari hizi ishia kuzisoma kwa watu yakikufika utakuwa chini kama viatu. Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957] Click to expand... Kweli kabisa Mkuu.
St Lunatics said: Habari hizi ishia kuzisoma kwa watu yakikufika utakuwa chini kama viatu. Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957] Click to expand... Kweli kabisa Mkuu.
COMOTANG JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 2,131 Reaction score 1,830 Sep 3, 2021 #7 Da data said: Sawa.. View attachment 1906880 Click to expand... data umekunywa supu ya limao Nini ????
Da data said: Sawa.. View attachment 1906880 Click to expand... data umekunywa supu ya limao Nini ????
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,702 Reaction score 22,578 Sep 3, 2021 #8 data said: Sawa.. View attachment 1906880 Click to expand... We are on the Right Track ..
M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,553 Reaction score 10,597 Sep 3, 2021 #9 data said: Sawa.. View attachment 1906880 Click to expand... Magu sijui aliibua wapi hiki kipajiš¤£š¤£
data said: Sawa.. View attachment 1906880 Click to expand... Magu sijui aliibua wapi hiki kipajiš¤£š¤£