Naam Naam, hili nalo mkalitizameSASA ILI UJUE UNDUGU UPO AU UMEKUFA!!!!!
NENDA KAMTONGOZE MAMA WA MKE WAKO WA ZAMANI..
Hii ni alama wewe ulikuwa mwema sana kwa ndugunwa mkeoHivi haya mambo ua na kwenu au ni kwangu tu
Sasa hivi nina miaka 2 toka tuachane na X mke wangu
Ila cha ajabu bado familia yao wananichukulia kama mwana familia wao tu
Habari zote za familia bado nina pewa
Ushemeji bado upo
Eshima ya mkwe bado ipo
Mdogo wake alikuwa na tabia ya kuja kuangalia TV kwangu lakini bado anakuja kuangalia TV
Yaani kwa ufupi bado wanaendelea kunichukulia mimi kama mkwe
Mpaka imefika hatua mke wangu wa sasa ameanza kufikiria vibaya
Wakubwa naombeni amniambiye
Je haya mambo yamekaaje?
Mkiachana na mwanamke ule undugu haufi au?
Na kibaya mimi na mtoto wao tulibahatika kupata mtoto lakini kwa bahati mbaya alitangulia mbele za haki
Ukute ni WA kiume ...Mpe mimba huyo dogo anaekujakuja Ili undugu ukolee
Amwombe tako,atakimbia kwenda kuwaambia nduguze watamchukia tuUkute ni WA kiume ...
Mawazo gani haya asubuh yote hii.Amwombe tako,atakimbia kwenda kuwaambia nduguze watamchukia tu
Hahaha akikubaliwa je? Ila tako??Amwombe tako,atakimbia kwenda kuwaambia nduguze watamchukia tu
Kijana acha utoto.Ulitaka wakuchukie?Ugombane na mmoja wakuchukie wote?Halafu,ukileta ujuaji utalipishwa uchakavu wa godoro.Kwa umri wako unaijua hiyo tozo?Ishi na wazee kwa adabu ufaidi mdogo wangu.Ndiyo maisha.Usiwafedheheshe,watakuaibisha.Hivi haya mambo ua na kwenu au ni kwangu tu
Sasa hivi nina miaka 2 toka tuachane na X mke wangu
Ila cha ajabu bado familia yao wananichukulia kama mwana familia wao tu
Habari zote za familia bado nina pewa
Ushemeji bado upo
Eshima ya mkwe bado ipo
Mdogo wake alikuwa na tabia ya kuja kuangalia TV kwangu lakini bado anakuja kuangalia TV
Yaani kwa ufupi bado wanaendelea kunichukulia mimi kama mkwe
Mpaka imefika hatua mke wangu wa sasa ameanza kufikiria vibaya
Wakubwa naombeni amniambiye
Je haya mambo yamekaaje?
Mkiachana na mwanamke ule undugu haufi au?
Na kibaya mimi na mtoto wao tulibahatika kupata mtoto lakini kwa bahati mbaya alitangulia mbele za haki
aiseeAmwombe tako
Jesus Christ ..!!Amwombe tako,atakimbia kwenda kuwaambia nduguze watamchukia tu
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Amwombe tako,atakimbia kwenda kuwaambia nduguze watamchukia tu
Inaonekana ulikua msaada kwao, namaanisha maisha yao hayapo vizuriHivi haya mambo ua na kwenu au ni kwangu tu