To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 19,178
- 34,350
🤣🚴
🤣🚴
Jesuu!!🤣Jesus Christ ..!!
🤣🤣🤣🚴🚴🚴Hahaha akikubaliwa je? Ila tako??
😳sor,nitayahamishia jionMawazo gani haya asubuh yote hii.
Ni mawazo evil ila genius thinking ya kutafuta uadui 😂Amwombe tako,atakimbia kwenda kuwaambia nduguze watamchukia tu
Yeah,atakimbia mbona na uadui utakuwa na nguvu sanaNi mawazo evil ila genius thinking ya kutafuta uadui 😂
Seriously...??Amwombe tako,atakimbia kwenda kuwaambia nduguze watamchukia tu
Ndo Ivo mkuuSeriously...??
Ni maoni mkuu,ayachukue au ayaache😉🤣🤣🤣😂😂🙌🙌Nimevulia kofia mmeshindikana
Sawa But sidhani kama ni suluhu,,,,Assume akapewa hilo tako....Ndo Ivo mkuu
Huyu jamaa ameingiwa na choyo,kwani huyo anaekuja kuangalia tv akimchukulia kama nduguye TU shida Iko wapi na kwanini ashindwe kufanya maamuz juu ya nn anachotaka na asichotaka kama mwanaume!?Sawa But sidhani kama ni suluhu,,,,Assume akapewa hilo tako....
Kutokuwa karibu na mtu sio lazima muwe maadui,,, Jamaa anatakiwa aweke Boundaries,,,na asimamie hio mipaka yake,,,,,hao ndugu watakaa tu katika misingi yake....hakuna ulazima wa uadui na watu mlioishi nao vizuri....