Haya mambo mawili yamenistua sijui maana yake

Ruyama

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
367
561
1. Leo nimepigiwa number ngeni nikapokea akajitambulisha mdada nikamkumbuka, alikuwa mpenzi wa marehemu kaka yangu walipotezana tokea 2013 kaka yangu alifariki 2016 kumbe kipindi wako kwenye mahusiano kaka aliandika number yangu kwenye diary ya huyo mpenzi wake sasa leo ananipigia na kuniuliza habari yako sikumjua kumuuliza akasema wewe si mdogo wake na fulani naomba number zake, ilibidi nimwambie kaka alifariki kitambo alishituka mno na kulia akakata simu.

Sikutaka kumpigia cause marehemu kaka alinisimuliaga alijitolea kumsomesha mdogo wake mwishoni huyo shemeji akampiga chini kaka kuanzia hapo alikuwa mtu wa stress mno baada ya kuachana.

2.Juzi nipo na mke wangu tumekaa nikaona mtu ananipungia alikuwa amekaa na mtoto mdogo, ikabidi nimfuate kumuona hivii alikuwa ni girlfriend wangu baada ya kumaliza A-level tulikuja kupotezana baada ya mimi kwenda chuo sasa akaolewa ile juzi tunazungumza aisee ilikuwa ni miujiza tokea 2006 hadi leo 2021 ila yeye ameolewa na mimi nimeoa, hii maana yake nini haya matukio mawili?
 
KWA HIYO MKUU UNATAKA USHAURI,MAWAZO AU NINI DHUMUNI HASA LA KUANDIKA HAYA??

A2F29A04-8F6E-42EB-BEBA-17E490CD9EF4.jpeg
 
Kwa akili za kawaida nafahamu unachotafuta although sioni mantiki yoyote inayoweza kudadavuliwa ikamention jambo lisilokuwepo ili liwepo.

Hapo sehemu ya maisha ya kawaida tu as tyre ya gari linavyozunguka.
 
kwa sisi wanajimu tukikonect namba utaoba na rais umwambie shida zetu watanzania, atakuskia nasi tutaneemeka.

yakitimia usinisahau
 
Milima haikutani binadamu hukutana.

There is a soul when you kiss,you fu.k each other
 
1.Leo nimepigiwa number ngeni nikapokea akajitambulisha mdada nikamkumbuka, alikuwa mpenzi wa marehemu kaka yangu walipotezana tokea 2013 kaka yangu alifariki 2016 kumbe kipindi wako kwenye mahusiano kaka aliandika number yangu kwenye diary ya huyo mpenzi wake sasa leo ananipigia na kuniuliza habari yako sikumjua kumuuliza akasema wewe si mdogo wake na flani naomba number zake,ilibidi nimwambie kaka alifariki kitambo alishituka mnoo nakulia akakata simu,sikutaka kumpigia cause marehemu kaka alinisimuliaga alijitolea kumsomesha mdogo wake mwishoni huyo shemeji akampiga chini kaka kuanzia hapo alikuwa mtu wa stress mnoo baada ya kuachana.
2.Juzi nipo na mke wangu tumekaa nikaona mtu ananipungia alikuwa amekaa na mtoto mdogo, ikabidi nimfuate kumuona hivii alikuwa ni girlfriend wangu baada ya kumaliza A-level tulikuja kupotezana baada ya mimi kwenda chuo sasa akaolewa ile juzi tunazungumza aisee ilikuwa ni miujiza tokea 2006 hadi leo 2021 ila yeye ameolewa na mimi nimeoa,hii maana yake nini haya matukio mawili?
Kuna dalili za mtu kuliwa kimasihara apa
 
Acha ushirikina ni vitu vya kawaida labda kama wangekufuata sayari nyingine,humu humu duniani ni kawaida tu
 
1.Leo nimepigiwa number ngeni nikapokea akajitambulisha mdada nikamkumbuka, alikuwa mpenzi wa marehemu kaka yangu walipotezana tokea 2013 kaka yangu alifariki 2016 kumbe kipindi wako kwenye mahusiano kaka aliandika number yangu kwenye diary ya huyo mpenzi wake sasa leo ananipigia na kuniuliza habari yako sikumjua kumuuliza akasema wewe si mdogo wake na flani naomba number zake,ilibidi nimwambie kaka alifariki kitambo alishituka mnoo nakulia akakata simu,sikutaka kumpigia cause marehemu kaka alinisimuliaga alijitolea kumsomesha mdogo wake mwishoni huyo shemeji akampiga chini kaka kuanzia hapo alikuwa mtu wa stress mnoo baada ya kuachana.
2.Juzi nipo na mke wangu tumekaa nikaona mtu ananipungia alikuwa amekaa na mtoto mdogo, ikabidi nimfuate kumuona hivii alikuwa ni girlfriend wangu baada ya kumaliza A-level tulikuja kupotezana baada ya mimi kwenda chuo sasa akaolewa ile juzi tunazungumza aisee ilikuwa ni miujiza tokea 2006 hadi leo 2021 ila yeye ameolewa na mimi nimeoa,hii maana yake nini haya matukio mawili?
Hii ni squid game au
 
Back
Top Bottom