Haya maisha haya

Hamna ni michongo hii ya kawaida ila 5000 ni dau dogo sana labda chakula kiwe Kwa boss. Wewe driver wa magari au pamoja na mashine kama forklift na wheel loader?
Light vehicles tu mkuu.
 
Watu wasomee kazi wawe na skills.
Bro tatizo sio hilo wewe pia haujui kuna wenzie amesoma nao kozi HIO HIO wamemaliza Chuo pamoja kabla hata ya kuchukua cheti tayari wameshapata Ajira wanafanya kazi Ila yeye mpaka leo kazi hajafanikiwa kupata hata kuajiriwa bado, kwa HIO punguza masimango Mzee Matola uitumie PhD yako vizuri kwenye kutoa ushauri na sio kulaumu
 
Naomi Mzima unatafuta mshahara wa 3000 so sad
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…