Haya maisha haya

Unakuta litoto likija kukua linasahau kama lina mama lenyewe ni mademu tu wa kihaya na kichaga mama linamsahau na baada ya yote mama bado anamsamehe.tuitumie hiyo picha kukumbuka tumetoa msaada gani kwa wazazi mpaka hapa tulipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…