watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, ulifanya mistake kuzaa bila ya kuandaa maisha ya kiumbe kipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kuzaa hayana mahusiano na ugumu au wepesi wa maisha.watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, ulifanya mistake kuzaa bila ya kuandaa maisha ya kiumbe kipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha yanabadilika ndani ya muda wowote, huwezi jua amepatwa na nini?watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, ulifanya mistake kuzaa bila ya kuandaa maisha ya kiumbe kipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuuu, ambaye hajapitia shida hawezi kukuelewa. Muhimu hapa ni namna gani tukusaidie maana hadi kuja hapa maana yake umegika mwisho ila wazo la kujitundika achana nalo huwezi jua kesho meza zitajipanga upya.Acha tuu ndugu nimechanyikiwa sijui hta mgonjwa ana Hali gani, Ndgu na mama wamenipiga marufuku kumpgia sim kwani sina msaada wowote
tatuta namna ili tukufikie tukuchangie, maana kuna hatua ambayo binadamu inakuzidi uwezo, ILA IWE KWELI UNA SHIDA !
Unasema nini wewe kijana? Kuwa uyaone unafikiri kutokuoa ndiyo mambo yatakaa vizuri maisha hayana formula hata siku mojaMimi ndio maana watu baadhi hawanielewi kwanini sijaoa mpaka sasa! Wameongea weeee, nimekuwa kama Jiwe kwenye kumtumbua Bashite! Kuna mambo unapaswa kuyaweka sawa kabla hujaamua kuoa au kuzalisha binti wa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuuu, ambaye hajapitia shida hawezi kukuelewa. Muhimu hapa ni namna gani tukusaidie maana hadi kuja hapa maana yake umegika mwisho ila wazo la kujitundika achana nalo huwezi jua kesho meza zitajipanga upya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa kiongozi.Mimi ndio maana watu baadhi hawanielewi kwanini sijaoa mpaka sasa! Wameongea weeee, nimekuwa kama Jiwe kwenye kumtumbua Bashite! Kuna mambo unapaswa kuyaweka sawa kabla hujaamua kuoa au kuzalisha binti wa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi yameanza kukaa vizuri baada ya kuvumilia kwa muda, hata mtoto akizaliwa sina hofu najua atakula, atavaa, na bima namkatia fresh kabisa. Tofauti na miaka miwili mitatu iliyopitaUnasema nini wewe kijana? Kuwa uyaone unafikiri kutokuoa ndiyo mambo yatakaa vizuri maisha hayana formula hata siku moja