Haya maigizo ya ACT Wazalendo ni maigizo ya watu wazima au watoto wa darasa la pili?

Nyani haoni kundule.

Vyama vyote vya siasa ndio mpo hivyo.

Walio nje ndio wanaona.
Nakubaliana na wewe Mkuu. Ila kwa mkakati huu,ni bora hiki chama/kikundi kiongozwe na watoto wa darasa la Pili B maana mawazo ni sawa na watoto wa darasa la pili B
 
Kama ni kwa mikakati hii basi tutegemee kuona anguko kubwa sana la CCM B
Ndipo mnapopotezwa hapo tu bavicha
Inaonekana bado zitto ni tatizo kwa chadema.Umetumia nguvu nyiiingi ku copy na ku paste,mawasiliano ya group ambalo ni sawa na genge la wanywa kahawa..
Kwenu bavicha ni bora ccm wachukue nchi kuliko ACT.Ni hapo ccm wanaposhinda kila siku halafu mnalia mmeibiwa kumbe hakuna upinzani makini
 
Ziko program za kugushi mazungumzo ya watsup dizain hiyo so we endelea kuwakusanya na kuwasomba hao nyumbu wenzako
 
Hii ni mbinu mpya Cku hizi unajiuzulu baada ya mwaka unarudi kwenye nafasi yako uliotangaza kujiuzulu
 
Ziko program za kugushi mazungumzo ya watsup dizain hiyo so we endelea kuwakusanya na kuwasomba hao nyumbu wenzako
Mkuu relax na uwe mpole. Unafikiri kwenye hilo genge lenu hakuna rafiki zetu?
Unafikiri kila kiongozi aliyemo humo anapenda huo usanii wa kitoto mnaofanya?
Hizi taarifa zimesambazwa na viongozi wenu ambao wapo mule kwa manufaa ya matumbo yao.
Hizi charting sio editing Mkuu. Zimetoka Moja kwa Moja kutoka kwenye genge lenu na kupelekwa kwenye makundi kadha wa kadha ya whatsapp. Nilitaka kuanza siasa kwa kujiungs na ACT ila kwa hii mipango ya kitoto ni bora niendelee kuwa mgombea huru 2020.
 
We ni mmoja wa manyumbu ila naona unaona aibu kujiweka wazi kuwa ni mwana saccos ya wachagga hahhha hii inatokana na ule uchumia tumbo wa makamanda wenu waliompokea mtu waliyemtukana miaka nenda rudi kuwa ni fisadi ila akawa mzuri ghafla kwasababu ya kupokea hela zake.hongera sana kwa kuitambua hiyo aibu mkuu
 
Sijaona chama cha upinzani chenye nia ya dhati ya kuikomboa Tz kutoka kwenye mikono ya ccm. Kila chama kinachoanzishwa ni mahususi kwa ajili ya matumbo ya wachache. Mkuu ukibishana na Mimi nitaendelea kuleta mazungumzo yenu zaidi hapa. Mm nilidhani ACT ndo kitakuja kuwa na dhamira ya kweli,kumbe Yale Yale tu. Tena kwa mikakati yenu hiyo mtakimbiwa kila Mara.
 
Back
Top Bottom