Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,581
Kwakweli, umri unaweza ukawa ndio tatizo.age zenu pls
Kwakweli, umri unaweza ukawa ndio tatizo.age zenu pls
Labda nirekebishe kidogo ndio mtaelewa maana yangu
usinitafutie ban kwa kuchelewa kwakoWe Mo kweli hamnazo imenibidi nirudie kuusoma Uzi mara mbili mbili nione kama kuna sehemu bibie kalalamikia Kuwekwa WhatsApp DP lakini sijapaona,na hata angelalamikia kuwekwa ni haki yake mtu hulalamikia apendacho hasa pale anapokikosa
Ukiipata Ban utakua umestahiliusinitafutie ban kwa kuchelewa kwako
Kwanini hampendi?kwa hiyo kilichokukera ni kutowekwa dp whatsapp ??
hivi unajua wanaume hatupendelei kuweka dp za wanawake
badala ya kugombea utambulike kwao unagombea kutambulika whatsapp
hivi wewe mzima kweli mke mtarajiwa ugombee vitu vya hovyo hovyo