Haya mahusiano yanaelekea kunishinda

Haya mahusiano yanaelekea kunishinda

Kaa naye chini umueleze haya. Kama atakupa majibu yanayoeleweka endelea naye vinginevyo STUKA! Yuko kupunguza genye zake tu na kuhakikisha ana mpishi wa kumtengenezea maakuli.
Hujaeleweka!! Nyoosha kidogo mkuu
 
Vumilia mwaya mbona hapo mko vizuri tu sema wewe mwenzangu una utoto flani we mkaushie endeleeni kula bata
Nimeipenda hiyo ..mkuu inaonesha wewe ni mtaalamu kwenye hayo mambo ya kukaushia,,,hahahahaaa
 
Jibu mmoja acha kushoboka ovyo,kulazimisha mambo..kitulize mtoto wa kike..nimetumia lugha ngumu sn ila ukinielewa utafanikiwa sana kwenye mahusiano yako..huu ni mfano hao wa wanawake wanaomini unaweza kumlazimisha mwanaume km hajaamua..
 
kwa hiyo kilichokukera ni kutowekwa dp whatsapp ??
hivi unajua wanaume hatupendelei kuweka dp za wanawake
badala ya kugombea utambulike kwao unagombea kutambulika whatsapp

hivi wewe mzima kweli mke mtarajiwa ugombee vitu vya hovyo hovyo
mhhhh sijaona mahali amesema anataka awekwe DP loooh
 
sasa picha zake za oldies zinakukera wapi,,, alikukuta bikra?... ukatambulike kwao ili iweje??.....wacha kuwa king'ang'anizi,,,,ushakubali kuwa mpishi wake.....tafuta limbwata muwekee...hahahahahaaaaa....duh wanawake bana.....
 
Je boyfriend wako ana hofu ya Mungu? Kama hana jaribu kumuelimisha . Mnafanya dhambi maana hamna ndoa.
 
kwa hiyo kilichokukera ni kutowekwa dp whatsapp ??
hivi unajua wanaume hatupendelei kuweka dp za wanawake
badala ya kugombea utambulike kwao unagombea kutambulika whatsapp

hivi wewe mzima kweli mke mtarajiwa ugombee vitu vya hovyo hovyo
We Mo kweli hamnazo imenibidi nirudie kuusoma Uzi mara mbili mbili nione kama kuna sehemu bibie kalalamikia Kuwekwa WhatsApp DP lakini sijapaona,na hata angelalamikia kuwekwa ni haki yake mtu hulalamikia apendacho hasa pale anapokikosa
 
Back
Top Bottom