Ukiacha CCM vyama vingine vilivyobaki hata ungewapa wagombea Urais wake IST ya bure bado kuijaza mafuta wazunguke japo mkoa mdogo kama Dar kwa ajili ya kampeni wasingeweza kutokana na hali zao za kiuchumi.
Sasa mtu kapewa V8 na dereva ili azunguke nchi nzima kupiga kampeni swali langu ni je hayo magari bajeti ya mafuta ni juu ya tume ya Taifa ya Uchaguzi au ile fundraising ya bil 86 na nyinginezo ndio za kujaza haya magari mafuta ionekane tuna kampeni za maana!?
Huyo mtoa mafuta atajilipaje? Ana maslahi gani? Au ni miongoni mwa wagombea ameamua kujitengenezea wapinzani kwa mlango wa nyuma?
Mwaka huu tuna sanaa ya siasa zaidi kwenye uchaguzi wetu kuliko sayansi ya siasa.