Haya magari mapya ya polisi ni ya kivita kabisa. Yote haya ya nini?

Haya magari mapya ya polisi ni ya kivita kabisa. Yote haya ya nini?

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,279
Reaction score
13,708
Leo nimeona Magari Magari kweli kweli ya jeshi la Polisi ni magari imara sana kukabiliana na Uhalifu.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.

Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa vitendea kazi vitakavyotumika kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao Mkoa wa Mbeya.
 

Attachments

  • IMG_0203.jpeg
    IMG_0203.jpeg
    410.3 KB · Views: 13
  • IMG_0202.jpeg
    IMG_0202.jpeg
    440.2 KB · Views: 12
Mbali na kutuletea wanajeshi wa Uganda ameona aongeze na haya magari ya kivita?

Mama kapanga kutumaliza.
Zinaitwa armoured vehicles hayo Risasi haipenyi itakua mawe ya makamanda?
 
Hadi sasa comment namba tisa hakuna mwenye picha ya hayo magari. Wengine tunazifahamu Toyota raumu ,spacio na IST , msitaje magari bila picha ni uzushi

Nipo Nane Nane Morogoro
 
Hadi sasa comment namba tisa hakuna mwenye picha ya hayo magari. Wengine tunazifahamu Toyota raumu ,spacio na IST , msitaje magari bila picha ni uzushi

Nipo Nane Nane Morogoro
 

Attachments

  • IMG_0202.jpeg
    IMG_0202.jpeg
    440.2 KB · Views: 18
Back
Top Bottom