Acha kukariri mkuu!1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.
2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.
3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia.
Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
Mbona unatumia nguvu nyingi mno kukanusha, na kama tumedanganywa what is the point?1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.
2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.
3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia.
Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
Akikujibu kwa kukanusha naomba aje na ushahidiNtatoa laki sita unitajie nchini inayomiliki CS300/A200-300 kwa Afrika ukitoa TZ ntakupa na kujitoa JF
hii haina tofauti na ombaomba Matonya kutamba kuwa wa kwanza kununua vitz miongoni mwa ombaomba wote nchini!Ntatoa laki sita unitajie nchini inayomiliki CS300/A200-300 kwa Afrika ukitoa TZ ntakupa na kujitoa JF
umeandika kishabiki sana1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.
Watanzania mmesahau kwamba ile boeng 787 ninkubwa hata kqa bei kuliko hii a220-300. Hii ni ndege ya kawaiada tuu inayo beba watu kati ya 130 hadi 160.
2. Tanzania ni nchi ya kwanza kumiliki ndege hii.
Si kweli ndege hizi kabla ya kununuliwa na airbus zilikua zinatengenezwa na bombardier zilisha nunuliwa na kutumika toka mwaka 2016.
3. Hakuna nchi africa yenye uwezo wa kununua ndege hii. Ni uongo pia.
Waandishi wa habari Tanzania nao wamekua wanasiasa. Someni mitandaoji kabla ya kuandika mambo yenu.
Acha kukariri mkuu!
Mkuu wapi nimekanusha kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza africa kumiliki ndege hii. Tatizo ushabiki, soma vizuri.Ntatoa laki sita unitajie nchini inayomiliki CS300/A200-300 kwa Afrika ukitoa TZ ntakupa na kujitoa JF
Naona unazusha uongo mwenyewe halafu unakana tena mwenyewe, hii mpya kwa kkweli.
1.Sio ndegekubwa kuliko zote Africa hata dreamliner tu inaizidi hii airbus na kila mtu anafahamu hilo
2.Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika kununua hiii ndege
3.Nchi yoyote ikiamua kuachana na rushwa inaweza kununua hii ndege
Yaani hizi siku kadhaa tu mbowe kuwa ndani Chadema mmekuwa na hoja dhaifu kiasi hiki,vipi akikaa miezi huko
Pia, inasemekana kuwa hakuna kiwanja inapoweza kutua hapa Africa isipokuwa JKNIA...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]binadamu bhana
Hata kama ni kweli so what,Mbona unatumia nguvu nyingi mno kukanusha, na kama tumedanganywa what is the point?
Mkuu naomba nitajiae nchi moja ya Africa ambayo inamiliki AirBus A220 - 300 or CS series 300..........................1. Ndege hii ni kubwa kuliko zote africa.