and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,519
- 40,363
Wadau nashangazwa sana na kuwepo na Madanguro kila kona ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia UWANJA WA FISI, MWANANYAMALA HOSPITALI, TEMEKE SUDANI, TANDIKA etc. tenakama mwananyamala ni mita 5 kutoka ofisi ya CCM na ofisi y Mwenykiti seikali ya Mtaa na bado wanafumbia macho Jeni kwamb mmehalalisha?
Buguruni ?
Wahaya wanahusikaje kwenye thredi yako?
Kwa hivo mtu akiongea Kiingereza basi atakuwa Muingereza?
Usikitaje kijiwe changu.. Karibu kwa Mnyamani.
Sasa huu ni Ubishi usio na kichwa wala miguu. Inaonekana Unapenda sana ligi!