figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,199
- 64,652
Hawa madereva unasindwa uwaweke wapi,ni vichaa au ni wavuta bangi?
Ujumbe umefika na kupokelewa! Si wanataka (POLISI) watu walioenda Veta na NIT-Mabibo wawe na leseni C1,2,3 n.k Haya sasa sijui hiii ni leseni D au F?
Ujumbe umefika na kupokelewa! Si wanataka (POLISI) watu walioenda Veta na NIT-Mabibo wawe na leseni C1,2,3 n.k Haya sasa sijui hiii ni leseni D au F?
nawewe unaonekana ulikua ukilifuata basi kwa jinsi picha inavyo onekana uko upande wa kulia
mambo ya kitonga hayo kama sikose mkuu
Hii mkuu kuna maeneo mawili.Hii naipigia kura kama picha bora ya mwaka. Inaelimsha. Hapo ni wapi? Nimevutiwa na huo msitu. Nijulishe pls
Zege la KitongaHii mkuu kuna maeneo mawili.
1.Eneo la msitu lillilo kushoto kama unakaribia kuingia Morogoro AU
2.Kama unaanza au kumaliza kitonga